Vodacom ni wezi????

Bijou

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,219
335
Naomba Msaada, Mimi Nina dual SIM card, Ina voda na tigo, iliyo namba moja ni tigo, Lakini Mara nyingi nakuta hela ya voda imeliwa, na vile vile, nikitaka kutuma tigo pesa nikibonyeza nabata MSG ya m pesa. nadhani tigo wAna mchezo mbaya wanafanya. JIREKEBISHNI TAFADHALI MAANA NITAACHA KABISA KUTUMIA MTANDAO WENU
 
nahisi na ww una matatizo...hata maelezo yako yanajichanganya mno....
 
Hata mimi sijamuelewa kwani kaanza na voda wezi halafu kamaliza na tigo wamemuibia. Ila kuna tatizo kwenye hii biashara ya simu. Mimi mwenyewe nilijiunga na extreme. kesho yake nikawa kila pesa nikiweka zinakatwa. Kuuliza wananieleza kuwa labda una deni wakati mimi sijakopa hata mara moja. Wakaniambia labda wanakukata za mlio, wakati mimi sijaomba mlio wowote. Tena ni usumbufu kiasi kwamba hata majibu wanayokupa customer care ni ya kubuni hawana uhakika.
 
Tumia TTCL,kwan kupanga ni kuchagua.Kila lililo zuri lazma liwe ubaya wake.Pia maelezo yako kama vle hayajitoshelezi mkuu
 
Maelezo yako yenyewe ni komedi tosha angalia mchina wako vizuri
 
Naomba Msaada, Mimi Nina dual SIM card, Ina voda na tigo, iliyo namba moja ni tigo, Lakini Mara nyingi nakuta hela ya voda imeliwa, na vile vile, nikitaka kutuma tigo pesa nikibonyeza nabata MSG ya m pesa. nadhani tigo wAna mchezo mbaya wanafanya. JIREKEBISHNI TAFADHALI MAANA NITAACHA KABISA KUTUMIA MTANDAO WENU
Mbona kichwa na maelezo yako ni vtu tofauti kabisa.
 
Naomba Msaada, Mimi Nina dual SIM card, Ina voda na tigo, iliyo namba moja ni tigo, Lakini Mara nyingi nakuta hela ya voda imeliwa, na vile vile, nikitaka kutuma tigo pesa nikibonyeza nabata MSG ya m pesa. nadhani tigo wAna mchezo mbaya wanafanya. JIREKEBISHNI TAFADHALI MAANA NITAACHA KABISA KUTUMIA MTANDAO WENU

Menu ya M-PESA ni *150*00# ya Tigo Pesa ni *150*01# iweje ubonyeze ya M-PESA ije Tigo Pesa/Tigo Pesa ije M-PESA?
 
Back
Top Bottom