Vodacom na promotion yenu mpya ya 50% mbn haifanyi kazi ss hv???????

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Ijumaa nilinunua muda wa maongezi wa 30 elfu kwa niaba ya kununua BIS service ya vodacom via M-pesa nikapata bonas ya 50% ambayo ni elf kumi na tano ss cha kushaangaza leo imebaki 9,105 lakini kila nikipiga naambiwa sina salio la kutosha ss sielewi maana bonus ilikuwa mwisho ni trh 27 ss,nimeongea na costtomer care anadai nimeke tu vocha nyingine hana maelezo ya kutosha plz nawakumbusha TCRA kufatilia kwa makini promotion za haya makampuni ya simu!!!!
 
pole sana haja ivo 50% ya 30 elfu ni tsh 15 elfu so bado umeliwa jaribu kuongeza hata jelo pengine wata i wezesha tena!
 
Back
Top Bottom