Vodacom kutuletea vocha ya 450 badala ya 500 kweli wametusaidia?

Miwatamu

JF-Expert Member
Oct 2, 2012
1,450
487
Wanajamvi kwa muda tangu vodacome wameingiza sokoni vocha ya shilingi 450 nimekuwa nashindwa kuelewa walilenga kumsaidia nini kati ya mnunuaji na muuzaji! Japo wao wanadai kuwa ni punguzo lakini ukiangalia kwa undani wanatuibia wao na kutunisha mfuko wa wauzaji kwa kuwa si rahisi kwa mteja kudai cheni y ash. 50 pale anapokuwa ametoa sh. 500.
Hebu tulijadili hili.
 
Hujasikia kuwa EL ana hisa katika Kampuni ya VODACOM? Hisia yangu ni kuwa hiyo Sh. 50/= ni kuchangia
rushwa za uchaguzi wa CCM unaoendelea na kuimarisha kambi kwa Uchaguzi Mkuu wa 2013.
 
Mitaani sehemu nyingi vocha za 500 zinauzwa 550!
Voda wamelenga kukubaliana na walanguzi wa vocha (ili 450 iuzwe kwa 500).....
Poor marketing strategy!

Wanajamvi kwa muda tangu vodacome wameingiza sokoni vocha ya shilingi 450 nimekuwa nashindwa kuelewa walilenga kumsaidia nini kati ya mnunuaji na muuzaji! Japo wao wanadai kuwa ni punguzo lakini ukiangalia kwa undani wanatuibia wao na kutunisha mfuko wa wauzaji kwa kuwa si rahisi kwa mteja kudai cheni y ash. 50 pale anapokuwa ametoa sh. 500.
Hebu tulijadili hili.
 
Jambo hili la vocha za voda linakera sana hasa hiyo 450 haina faida kwa mtumiaji wa mwisho ina faida sana kwa muuzaji
 
Ndiyo makampuni yetu hayo yet there is someone who is supposed to regulate them!
 
na ndio haata mishahara wanatuongezea kw rate io hio pumbav zao,wanatuona njaaa sana cjui,saa kwa wauzaji nd inawapa shida maaana kila vocha ue na 50 chenji,
 
ni muda mrefu sana sijakwangua vocha, iwe ya tigo, vodacom, airtel, huduma za pesa za simu zimenisaidia sana, na huduma ya crdb mobile.
 
Binafsi hawa jamaa wa voda siwaelewi kabisa labda wangeingia humu wakatufafanulia zaidi kwani inaonekana huyu muuzaji anapata faida mara mbili.zaidi wanatuibia tu.
 
Back
Top Bottom