Forgiveness is between them
(terrorist's) and God. It's my job
to send them to GOD
Hizi ndege amezitumia pale tu Kremlin ilipotangaza kuwa ndege yao iliyoanguka huko Egypt ilishambuliwa na bomu lililoingizwa ndani na mtandao wa ISIS. pamoja na hizi Tu-160 pia Tu-95 nazo zinashiriki pamoja na cruise missiles kutoka Mediterranean sea kushambulia sehemu mbali mbali za ngome ya ISISRussia wamechafukwa,hadi TU-160 blackjack imeletwa kutwanga na kupepeta.hii ndege supersonic and the largest combart aircraft in the world ndo kwa mara ya kwanza tangu iundwe inashiriki vitani
Nimeipenda hii inaonekana huyu jamaa ni mbabe sana.Alisema "To forgive Terrorists is the duty of God, Our duty is to send them to God"
Hata huku mtaani kina putin wapo...kamnukuu putin mwingineHii ya kwako ndo sahihi ya mleta mada sijui kaipata wapi.?
Hii ya kwako ndo sahihi ya mleta mada sijui kaipata wapi.?
Hahaha putin kayapa kichapo magaidi ya daesh huko raqqa siryia mpaka yameanza kukimbilia huko mosul iraq, kumbe hayataki kufa yakale bikra 72 ahela.