Rais wa Urusi,Vladimir Putin anefikia hatua ya kusema hato lipa madeni kwa Bank za Marekani
Rais wa Urusi,Vladimir Putin amezidi kushikilia msimamo wake kuwa hana hofu na taarifa zinazotolewa na nchi za kimagharibi juu ya kumwekea vikwazo kutokana na kushiriki kwake katika hali ya kisiasa nchini Ukraine.
Kama hiyo haitoshi anefikia hatua ya kusema hato lipa madeni kwa Bank za Marekani endapo vikwazo hivyo atawekewa na kusema vikwazo hivyo vitaathiri pande zote mbili yaani Russia pamoja na nchi nyingine za magharibi.
Swali langu ni je,sababu zipi zinazompa Putin kiburi cha kujibiza na hizi Big Powers? au ni sababu anajua nchi za magharibi zinategemea mafuta ambayo yamepita ndani ya nchi ya Russia?
russia hainaga deni.Russia future on hold, baada ya hili vuguvugu hatakopesheka. nani amkopeshe!
Putin amekuwa kama miafrika, hajafikiria mbali kabisa
Ni wakati muafaka sasa ku share migogoro na watu wazima ili na wao waonje utamu wake!Huu mgogoro sio mzuri kwa pande zote zinazohusika.Kuna impact kubwa kiuchumi kuiwekea Russia vikwazo.Russia ni muhimu katika Uzalishaji wa Gas kwa karibu Nchi 13 za Ulaya,Zikiwemo Nchi zenye nguvu kubwa kiuchumi kama Germany na Italy.Mgogoro huu wa kisiasa utaadhiri hali ya Uchumi wa Mataifa mengi ya Ulaya,Marekani na Russia.Warusi wamekwishatangaza wazi kuwa wataacha kutumia US$ Katika biashara zao na mataifa mengine kama China,India,Indonesia na Japan, wakifanya hivyo itakuwa pigo kubwa kiuchumi kwa Nchi ya Marekani.Ni matarajio ya kila mpenda amani kuwa Mgogoro huu utatatuliwa kwa njia za amani.
huu ndio mwisho ulaya na America wamezidi kuonea vinchi vidogo mara hii wameingia cha kike, watamjua mrussiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii oyeeeeeeeeeeeeee
Unajua Waafrika Tuna Shida Wengi Wapo Upande Wa Mrusi Moyoni Ila Mdomoni Upande Wa Marekan Na Wenzake Ktk Hili La Cremia.