Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

Kwa kweli hizi kumbi siku wahi kuingia hata moja, zaidi ya kusoma, ukurasa wa matangazo gazeti la mfanyaka, maana ukiondoa drive inn, zingine zilikua huko katikati ya jiji, na hali uchumi enzi hizo nikua sijiwezi sana.
Nilipenda zaidi mziki, kwa kumbi za karibu, kama Vatican hotel palikua MK beets, 92 hotel pale bandi nyingi zilikua zinapiga ila kila juma pili Washirika Tanzania stars, ukumbi mwingine Ufi Club, jirani na kiwanda cha maziwa yetu pendwa kipindi kile.
Vatican mwenzake alikuwa Lion hotel, walikuwa maarufu enzi hizo bila kusahau JUMBA la MAENDELEO URAFIKI
 
We mlevi umelala?
Nilale nimerogwa?
The place...karibia na TMJ?
May fair...kawe
Makondeko...morogoro road
DDC Kariakoo...kariakoo 🙂(kibuku oyee)
River side ubungo....utajaza mwenyewe
Kimbokaa......duuh
Mremis....buguruni nyuma ya soko
Himo njia panda...jina limenitoka
John's corner...Mafinga
Holiday inn...iringa( Robert shambe)
Rufita salaam club.....Tabora
Tilapia...Mwanza
Land rover ya ulanzi....mzee Kalinga
Kwa kitumbure...kikarara
Mama komoni....wilolesi
Kistuli....Namabengo
Mzee chinjioni....likuyu
Arusha by night....
Hotel seventy seven...arusha
Mama kadogoo...kijenge
Mountain view...mtwivila
Kwa bonge...Tunduma
Msijute bar...mtwara
....niangalizie naenda uani nitarudi.....
 
Back
Top Bottom