Viwanja vya bei nafuu

Kariba1

Member
Aug 20, 2012
75
4
Habari wana JF! kiwanja kinauzwa bunju b kipo kwenye eneo zuri lililojengeka kwa mpangilio mzuri maji na umeme vipo, ukubwa wa kiwanja ni mita 40 kwa mita 30, bei yake ni ml.5 kwa anayehitaji piga 0714107215 au 0714104788
 
Kina hati au ni mambo ya kuanza kwenda kupima.?.au unajenga unaambiwa ni eneo la bahari kupumulia. Please ongeza maelezo!!
 
Mhhh huko kila siku tunaona maugomvi na kesi zisizoisha anyway tuambie kama tayari kina hati basi maana wanaolia kwa kutapeliwa viwanja vya maeneo ya Bunju,Tegeta na Boko watu wengi sana hapa Dar
 
kwa bei hiyo Bunju siamini sana labda tuseme mwenye nacho ana shida ya haraka
isije kuwa mambo ya kuuzina kiwanja ndani ya kiwanja. double allocation
 
kiwanja kipo hakina tittle deed anayeuza anauza kwa shida na hakuna mambo ya utapeli au double allocation.
 
bunju b sehemu gani, karibu na nini na ni upande gani toka tegeta, umbali gani toka barabara ya lami!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom