Plot4Sale Viwanja vizuri inauzwa Mkuranga mjini bei poa.

ntakisigae

Senior Member
Nov 26, 2013
177
58
Viwanja vipo Mkuranga mjini.Ni dakika30 kutoka Mbagala,na nauli ni elf moja tu kwa daladala,na ni kama km30 au zaidi kidogo kutoka Mbagala.
Eneo lipo mita500 kutoka barabara kuu ya lami.Eneo ni mahsusi kwa makazi na panatambulika kimipango miji Kama eneo la makazi.
Viwanja vyote vipo eneo moja,na unaweza kuunganisha viwili kwa kimoja.
Ukubwa ni kama mita20 kwa20 .Panatosha kujenga nyumba ya vyumba vitatu vikubwa via kulala ,sebule,jiko,choo nk bila shida na uwanja kidogo kubaki.
Panafikika kwa magari na kuna barabara za mitaa katika viwanja.Umeme upo jirani,maji ya kisima yanapatikana jirani,utaratibu wa mani ya bomba kupitishwa upo karibu.Unaweza kuchimba kisima cha mkono cha bei rahisi au cha mashine.
Mahali viwanja vilipo pana makazi na ujenzi unaendelea kwa kasi.Vifaa via ujenzi,matofali vinapatikana jirani sana,na mafundi wazuri wa ujenzi na upauwaji wapo wazuri sana.
Bei ni tsh millioni I.2. AU tsh milioni1.7,Maongezi yapo kidogo.Viwanja via ukubwa karibu sawa,bei inategemea kiwanja kilivyo!Hati zitaandikishwa serikali za mitaa.Hakuna udalali tafadhali!
Muhimu:Mkuranga panachangamka sana hasa kwa uwepo wa viwanda vivavyojengwa kila uchao na pia ajira za viwandani ni nyingi kwasasa,nk.Na kweli bei za viwanja zitapaa,ni vizuri ukachangamkia kupata viwanja kwa bei poa Kama yangu!
Karibuni sana!

MAWASILIANO: 0657011122
 
Attachments

  • IMG_0485.JPG
    IMG_0485.JPG
    464.6 KB · Views: 102
  • IMG_0486.JPG
    IMG_0486.JPG
    418.9 KB · Views: 67
Viwanja vipo Mkuranga mjini.Ni dakika30 kutoka Mbagala,na nauli ni elf moja tu kwa daladala,na ni kama km30 au zaidi kidogo kutoka Mbagala.
Eneo lipo mita500 kutoka barabara kuu ya lami.Eneo ni mahsusi kwa makazi na panatambulika kimipango miji Kama eneo la makazi.
Viwanja vyote vipo eneo moja,na unaweza kuunganisha viwili kwa kimoja.
Ukubwa ni futi20 kwa 20 au zaidi.Panatosha kujenga nyumba ya vyumba vitatu vikubwa via kulala ,sebule,jiko,choo nk bila shida na uwanja kidogo kubaki.
Panafikika kwa magari na kuna barabara za mitaa katika viwanja.Umeme upo jirani,maji ya kisima yanapatikana jirani,utaratibu wa mani ya bomba kupitishwa upo karibu.Unaweza kuchimba kisima cha mkono cha bei rahisi au cha mashine.
Mahali viwanja vilipo pana makazi na ujenzi unaendelea kwa kasi.Vifaa via ujenzi,matofali vinapatikana jirani sana,na mafundi wazuri wa ujenzi na upauwaji wapo wazuri sana.
Bei ni tsh millioni I.2. AU tsh milioni1.7,Maongezi yapo kidogo.Viwanja via ukubwa karibu sawa,bei inategemea kiwanja kilivyo!Hati zitaandikishwa serikali za mitaa.Hakuna udalali tafadhali!
Muhimu:Mkuranga panachangamka sana hasa kwa uwepo wa viwanda vivavyojengwa kila uchao na pia ajira za viwandani ni nyingi kwasasa,nk.Na kweli bei za viwanja zitapaa,ni vizuri ukachangamkia kupata viwanja kwa bei poa Kama yangu!
Karibuni sana!

MAWASILIANO: 0657011122
Mkuu Futi 20 kwa 20 ni sawa na Mita 6 x mita 6,
Hapa unajenga Chumba kimoja tu aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom