Viwanja viwanja vinauzwa Mbezi Luis vya bei nafuu sana

mpendaMaendeleo

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
279
35
viwanja vinauzwa mbezi luis vya bei nafuu sana.
mita 35*25 3milion, 25*25 mita 2milion, 20*20 mita 1.5milion.
viko eneo la makazi. Dalali hatakiwi.
(kwa taarifa zaidi piga: 0718334726)
 
viwanja vinauzwa mbezi luis vya bei nafuu sana.
mita 35*25 3milion, 25*25 mita 2milion, 20*20 mita 1.5milion.
viko eneo la makazi. Dalali hatakiwi.
(kwa taarifa zaidi piga: 0718334726)

Mbezi Luis upande gani? Umbali gani toka Morogoro road, lile eneo kubwa sana, specify location
 
he is not serious hata mie pia nimepiga sana tu haipatikani, jamani tuwe makini naanza kupata wasiwasi
 
Isije ikawa lile eneo la karibu ya secondary ya Bablo maana nasikia limezuiliwa!! muwe macho wanunuzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom