Viwanja vingi vinauzwa Dar es salaam

ChiefSkin

Member
Apr 11, 2015
83
25
VIWANJA WINAUZWA – JIJINI DARESSALAAM

1.
GEZA ULOLE
a) Block 23, plot 266, 989 square meter, bei milioni 22 ila maelewano yapo – kina hati
b) Eka 35, bei milioni 250, ila maelewano yapo
c) Viwanja karibu na beach pia vipo vilivyopimwa
d) Viwanja vingine pia vipo vyenye hati na visivyokua na hati kwa maelezo zaidi tuwasiliane

Viwanja vyote vinafikika na gari mpaka eneo husika

2.
TOANGOMA
a) Block 2, 1339 square meter, bei milioni 50, ila maelewano yapo – kina hati
b) Block 1, 700 square meter, bei milioni 40, ila maelewano yapo-kina hati
c) Block 1, 1900 square meter, bei milioni 80,ila maelewano yapo, kina hati
d) Block 15, 800 square meter,bei milioni 30, ila maelewano yapo, kina hati
e) Block 10, 760 square meter,bei milioni 25, ila maelewano yapo, kina hati
f) Block 10, 600 square meter, milioni 15, ila maelewano yapo, kina hati
g) Vipo vingine vingi tu bei inaanzia milioni 6 na kuendelea kwa maelezo zaidi tuwasiliane
Viwanja vyote vinafikika na gari mpaka eneo husika

3.
CHANIKA MBUYUNI
a) 800 square meter, bei milioni 13, ila maelewano yapo, vipo vingi na vina hati
b) 1000 square meter, bei milioni 20, ila maelewano yapo, vipo vingi na vina hati
c) 1200 square meter, bei milioni 29, ila maelewano yapo, vipo vingi na vina hati
d) Vingine pia vipo ambavyo havina hati ila vimepimwa bei maelewano
Viwanja vyote vinafikika na gari mpaka eneo husika

4.KIGAMBONI BARABARA YA KWENDA KIMBIJI
a) Nusu eka, vipo vinne, bei milioni 25, ila maelewano yapo, hakina hati ila vimepimwa
b) Eka tatu na nusu, bei milioni 100, ila maelewano yapo, kipo karibu na bahari, kimepimwa
c) Vingine vipo bei maelewano na vinafikika na gari mpaka eneo husika



Maeneo ya ufugaji na kilimo yanapatikana pia. Yapo maeneo ya Vianzi na Malela, Mkoa wa Pwani nje kidogo tu ya jiji la Dar es salaam.

Nyumba pia zipo za bei tofauti maeneo ya Kongowe-Toangoma.


Viwanja vyote magari yanafika mpaka viwanja husika.

KWA MAWASIANO ZAIDI WASILIANA NASI;
WHATSAPP +255755040485. Pia unaweza kutupigia au kutuandikia message kwenye namba hiyo
Email: viwanjatz@gmail.com
 

Attachments

  • maeneo.jpg
    maeneo.jpg
    39.6 KB · Views: 317
hatuitaji bei kama ya ndege eti nusu eka mil 40 kimbiji nyie ndoroboo kweli madalali
ndo mnao ongeza gharma za ujenzi tofauti na uhalisia wanunulieni wake zenu sisi tutanunua kwa wananchi wa kawaida kimbiji kaka yangu kanunua kiwanja mli 5 nyie 40 mil acheni wizi bana nusu eka haiwezi fika 40 mil tsh katafuteni ajira zingine hii imewashinda au mtawauzia wakuja malimbukeni wa dsm
 
CHANIKA MBUYUNI ndio wapi,mimi nina viwanja Chanika Buyuni,au umeandika na hupajui,mimi mgeni na MBUYUNI plz nieleweshe
 
Maeneo ya kinyerezi hauna kiwanja.ila nahitaji eneo kubwa kuanzia heka kumi ikipungua sana.tano.
 
Nyumba inauzwa Chanika Tshs. Mil 62. Ipo ndani ya kiwanja cha Medium size, Ina master bedroom 1, sub master 1, vyumba vya kawaida 2, common toilet, sitting room and dinning, stoo na jiko. Nje ina garage, mabanda ya kuku na mbwa, jiko, stoo na choo cha nje, pia ina wigo wa ukuta.

Mawasiliano: 0654060250
 
Nyumba inauzwa Chanika Tshs. Mil 62. Ipo ndani ya kiwanja cha Medium size, Ina master bedroom 1, sub master 1, vyumba vya kawaida 2, common toilet, sitting room and dinning, stoo na jiko. Nje ina garage, mabanda ya kuku na mbwa, jiko, stoo na choo cha nje, pia ina wigo wa ukuta.

Mawasiliano: 0654060250
 
Viwanja Jijini Dar-es-salaam vya serikali
Toangoma- kigamboni
1. Block 2, 1339 square meter, bei milioni 50, ila maelewano yapo – kina hati miliki
2. Block 1, 700 square meter, bei milioni 40, ila maelewano yapo-kina hati miliki
3. Block 1, 1900 square meter, bei milioni 80,ila maelewano yapo, kina hati miliki
4. Block 15, 800 square meter,bei milioni 30, ila maelewano yapo, kina hati miliki
5. Block 10, 760 square meter,bei milioni 25, ila maelewano yapo, kina hati miliki

  1. Block 10, 600 square meter, milioni 15, ila maelewano yapo, kina hati miliki

Chanika mbuyuni
1. 800 square meter, bei milioni 13, ila maelewano yapo, vipo vingi na vina hati miliki
2. 1000 square meter, bei milioni 20, ila maelewano yapo, vipo vingi na vina hati miliki
3. 1200 square meter, bei milioni 29, ila maelewano yapo, vipo vingi na vina hati miliki

Geza Ulole – Kigamboni
1. Block 23, plot 266, 989 square meter, bei milioni 22 ila maelewano yapo – kina hati miliki
2. 2900 square meter, milioni 80 ila maelewano yapo - kina hati miliki

Kwa mawasiliano Zaidi niandikie whatsapp +255755040485 au nipigie
 
Viwanja Toangoma - Kigamboni

1. Mita za mraba (meter square) = 675, urefu mita 27, upana mita 25
Bei milioni 6, viwanja vya squatter ila vipo katika mpangilio na gari inafika mpaka kwenye viwanja husika. Viwanja vipo vinne

2. Mita za mraba (meter square) = 900, urefu 45, upana 20
Bei milioni 8, kiwanja cha squatter, ila kipo katika mpangilio na gari inafika mpaka kwenye kiwanja husika. Kiwanja kipo kimoja

3. Mita za mraba (meter square) = 800, urefu mita 40, upana mita 20
Bei milioni 7, kiwanja cha squatter ila vipo katika mpangilio na gari inafika mpaka kwenye kiwanja husika. Kiwanja kipo kimoja

4. Mita za mraba (meter square) = 710
Bei milioni 8, kiwanja cha squatter ila kipo katika mpangilio na gari inafika kwenye kiwanja husika. Kiwanja kipo kimoja

5.
Mita za mraba (meter square) = 750
bei milioni 8, kiwanja cha squatter ila kipo katika mpangilio na gari inafika kwenye kiwanja husika. Viwanja vipo viwili

6.
Mita za mraba (meter square) = 765
Bei milioni 6, kiwanja ni cha squatter ila kipo katika mpangilio na gari inafika

7.
Mita za mraba (meter square) = 510
Bei milioni 5, kiwanja ni cha squatter ila kipo katika mpangilio na gari inafika
Kimbiji – Kigamboni
1. Nusu eka, vipo vinne, bei milioni 25, ila maelewano yapo, hakina hati ila vimepimwa
2. Eka tatu na nusu, bei milioni 100, ila maelewano yapo, kipo karibu na bahari, kimepimwa

Kibada kuelekea Daressalaam Zoo

1. eka 3, kilomita 2,5 kutoka barabara ya lami, bei 17 milioni kwa eka moja
2. eka 1, kilomita 2,5 kutoka barabara ya lami, bei milioni 17

Kwa mawasiliano Zaidi unaweza niandikie Whatsapp kwa namba hii +255755040485 au unaweza kunipigia pia..
 
Serikali uliuuza hivyo viwanja kwa bei ya laki 6 mpk milion 1 tuu ,,leo hii wewe Dalali kwa tamaa zako za kukaa BAR na warembo. Unauza kiwanja mpaka million 80,jinsi gani unavyojionyesha wewe kweli Dalali ,usiyejua pesa upatikanaji wake hupo vipi,kitu usichokiweza wewe basi ujue mwenzako pia uenda asikiweze,,tuchukulie mimi. Ndio muuzaji nataka kukuuzia wewe je hizo bei kwako unaziweza au???
 
Serikali uliuuza hivyo viwanja kwa bei ya laki 6 mpk milion 1 tuu ,,leo hii wewe Dalali kwa tamaa zako za kukaa BAR na warembo. Unauza kiwanja mpaka million 80,jinsi gani unavyojionyesha wewe kweli Dalali ,usiyejua pesa upatikanaji wake hupo vipi,kitu usichokiweza wewe basi ujue mwenzako pia uenda asikiweze,,tuchukulie mimi. Ndio muuzaji nataka kukuuzia wewe je hizo bei kwako unaziweza au???

Huyu dalali ni shida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom