Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,061
- 281
Vipo Mbezi Msumi kilomita 8 kutoka Mbezi mwisho.Vipo karibu na Kanisa Katoliki kigango cha Mt Teresa Benedicta wa Msalaba. Kuna usafiri wa daladala kutoka Mbezi mwisho mpaka hapo nauli shilingi 400. Kiwanja kimoja chenye ukubwa wa mita 20 kwa 20 kinauzwa shilingi 3mil.Picha zilizopigwa zinaonyesha taswira ya eneo lilivyoendelezwa. Kwa kuviona au kupatiwa maelezo ya ziada piga simu nambari 0717114409.