Umekunywa ulanzi?Mkuu kwa 13B huwezi kupata mteja, mimi nina 100m
Mbezi msakuz ni km ngap kufika Moro roadHiyo bei utapata lakini kitakuwa kidogo
Vip huduma kama umeme na majiKutoka morogoro road Ni 5 km mpaka msakuzi center then ongeza 1km mpaka kiwanja kilipo
Pamepangiliwa vizuri barabara zipo,pamepimwaTatizo huko watu wamejijengea kiholela ya hakuna mpangilio unaoeleweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka hicho cha 20kwa 20 Nina mln 6
OkMil 8 fixed
Sijaelewa unamaanisha nini?Mkuu kwa 13B huwezi kupata mteja, mimi nina 100m
Shule gani Mkuu iliyopo karibu?Huduma zote zipo karibu na shule ya english medium ipo karibu ni dakika 2 tuu.pia kama unaona icho ni kidogo kipo kingine kikubwa 35 kwa 25.View attachment 2487612