Viwanja vinauzwa...Mbezi MSAKUZI (Pilikapilika/machimbo)

pappilon

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
3,192
3,556
Amani iwe kwenu wadau


Nauza viwanja vipo mbezi msakuzi maarufu kama Pilikapilika/machimbo ni pembeni mwa barabara ya kwenda Makabe ukiingilia barabara ya Mbezi high school. Viwanja vipo vinne 20m*20m kila kimoja ndani ya block moja. Umeme upo karibu Kabisa yaani nguzo ya Umeme ipo kwenye boundary ya Kiwanja kimoja..barabara zipo..viwanja vilikatwa vizuri sana na kuna barabara za mitaani za kueleweka Kabisa..

Ni eneo linalochangamka kwa kasi na nyumba zinazojengwa eneo hilo ni za Kisasa kabisa..kwa kifupi hakutakuwa na mambo ya usawahilini hapo baadae..

Kiwanja kina mkataba wa manunuzi na vimesajiliwa serikali ya mtaa.

Bei kwa kila Kiwanja ni 15M ila kuna maelewano...naweza kuuza kimoja kimoja ila lengo langu ni kupata mteja atakayechukua viwanja vyote au at least viwili..

Kwa wanaohitaji Tafadhali tuwasiliane

0767 420 464

Hakuna udalali mimi ndo Mwenye VIWANJA

Asanteni.
 
Mkuu hiyo bei unaua. Mie nina eneo Msakuzi lakini hiyo bei unayotaja siyo. 40*20 ndiyo 14-16M kwa maeneo hayo.

Legeza bei upate wateja.
 
Mkuu hiyo bei unaua. Mie nina eneo Msakuzi lakini hiyo bei unayotaja siyo. 40*20 ndiyo 14-16M kwa maeneo hayo.

Legeza bei upate wateja.
Ndo maana nimesema kuna maelewano mkuu wangu...asante kwa ushauri
 
Mkuu hiyo bei unaua. Mie nina eneo Msakuzi lakini hiyo bei unayotaja siyo. 40*20 ndiyo 14-16M kwa maeneo hayo.

Legeza bei upate wateja.
Kama una MTU au unahitaji tuwasiliane mkuu wangu maongezi yapo..
 
Mkuu bei yako huwezi kupata mteja, huko napajua vizuri sana, labda kuanzia sita
Sita Mkuu...du ngoja niviache tu...haviozi Mkuu wangu....kwa hilo eneo sita ilikuwa 2013 mkuu
 
upo karibu na dimosso ,ila hio bei uko juu mkuu hali sasa tete ,25 vyote sema tuje kuviona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom