Viwanja vinauzwa mbezi luis vya bei nafuu sana

mpendaMaendeleo

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
279
35
VIWANJA VIKO MBEZI LUIS KILOMETA TATU NA NUSU TU KUTOKA MOROGORO ROAD UPANDE WA KULIA UKITOKEA UBUNGO. BEI 30X22 2.5MILIONI, 25X22 2MILIONI NA 22X20
1.5
MILIONI.

(kwa taarifa zaidi piga: 0715 055 577/ 0769 055 577)
 
Prof Tiba anapafahamu hapo? asije kutuletea tingatinga wakati we ulishakula hela zetu...nahisi unatuuzia kiwanja cha watoto...anyway ntakupigia baadaye nikimaliza kula ukoko.
 
Acheni kununua viwanja visivyo pimwa email to me niwapatie viwanja vya serikali (high, medium, and low Density kilometer 20 kutoka Dar es salaam Tazara station kwa bei Rahisi kuliko ya mkuu MPENDA MAENDELEO
 
Mjini chai vyako viko wapi hivyo? eneo lina iwaje?
Bei?
Mwassiliano?
 
Acheni kununua viwanja visivyo pimwa email to me niwapatie viwanja vya serikali (high, medium, and low Density kilometer 20 kutoka Dar es salaam Tazara station kwa bei Rahisi kuliko ya mkuu MPENDA MAENDELEO

Ndiyo wapi huko??
 
VIWANJA VIKO MBEZI LUIS KILOMETA TATU NA NUSU TU KUTOKA MOROGORO ROAD UPANDE WA KULIA UKITOKEA UBUNGO. BEI 30X22 2.5MILIONI, 25X22 2MILIONI NA 22X20
1.5
MILIONI.

(kwa taarifa zaidi piga: 0715 055 577/ 0769 055 577)

Heshima kwako Mpendamaendeleo,

Mkuu nashukuru kwa taarifa yako inaelekea Dar viwanja bei rahisi kuliko Ar.Mkuu kiwanja chenye ukubwa 30x22 Arusha maeneo ya Njiro na Sakina ni kati ya tsh 25,000,000/= mpaka 30,000,000/=.Mkuu hilo eneo limepimwa au ni Manzese ya baadae vipi huduma za kijamii Hospital,shule, barabara,umeme,maji na viwanja vya wazi.
 
Acheni kununua viwanja visivyo pimwa email to me niwapatie viwanja vya serikali (high, medium, and low Density kilometer 20 kutoka Dar es salaam Tazara station kwa bei Rahisi kuliko ya mkuu MPENDA MAENDELEO

Ni maeneo gani hayo?
niko interested
 
MPENDAMAENDELEO HONGERA...100% HABARI INAJITOSHELEZA....NI JUU YETU KUJIMWAGA.....!
N.B...ni vizuri kabla ya kununua upate TP......TOWNPLAN ya eneo husika then ushughulikie ardhi kwa masuala ya hati
 
hiyo town plan unaipata wapi?
 
Hiyo bei inaendana na maeneo ya hapo ila sehemu nyingi kule najua hawajapima. kwa taarifa kutoka watu wazoefu wa maeneo hayo.

Huko mbezi luis mipango ya mji ikoje? Mara nasikitika soko kuu kama kariakoo mara stand ya mkoa-ubungo inahamia huko.
 
Mkuu nakuthibitishia viwanja vimepimwa, vimelipiwa Fidia na unapata DEED plan yako ukisha lipia, ila kwa sababu unapenda kusikiliza ya wazoefu wa maeneo(madalali uchwara) ambao viwanja vinauzwa wao wanaviangalia tu. waache wanaotaka kununua wafanye hivyo KISARAWE ni karibu mno ukilinganisha na Mbezi Luis au Tegeta, its 20km from Dar Tazara station, watu wengi wa Dar wakitajiwa Kisarawe wanafikiri ni Mbali kumbe ni karibu na ina madhari mzuri ajabu
 
WE mjini chai unasema tukuemail halafu email hujatoa
Basi basi email na kama unaweza size ya wiwanja na bei zake itakuwa vizuri zaidi
ASANTE
 
mjini chai hayo maendeleo yako wapi watu tunaomba mawasilino wew unaleta siasa,
weka hayo mambo hewan tuna pesa za mikopo hapa kabla hazija femea,aalaaaaah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom