Viwanja vinauzwa Goba mpakani

ishedaddy

Member
Mar 29, 2014
24
0
Ni viwanja vizuri sana na ni tambarare na huduma zipo yaani we ni kujenga tu na ni vya uhakika kabisa. Barabara kubwa mpaka kiwanjani Bei ni 6.8m
0713507487 / 0767507487 / 0782898210
 

Attachments

  • 1404654319368.jpg
    1404654319368.jpg
    130.6 KB · Views: 369
Viwanja vizuri vinauzwa goba mwisho mpakani kwa saizi tofauti kuanzia 23/25 mpaka 50/25 bei ni kuanzia 7m mpaka 13m. Ni tambarare kabisa ni flat na vipo kama mlimani kuna hewa nzuri sana.
Kwa aliye tayari nipigie
0713507487 / 0767507487 / 0782898210.
 

Attachments

  • 1406746377105.jpg
    1406746377105.jpg
    88.5 KB · Views: 413
  • 1406746409034.jpg
    1406746409034.jpg
    95.9 KB · Views: 394
  • 1406746434358.jpg
    1406746434358.jpg
    98.9 KB · Views: 389
  • 1406746496537.jpg
    1406746496537.jpg
    91 KB · Views: 364
  • 1406746530838.jpg
    1406746530838.jpg
    83.8 KB · Views: 350
  • 1406746582761.jpg
    1406746582761.jpg
    79.9 KB · Views: 352
  • 1406746629618.jpg
    1406746629618.jpg
    95.9 KB · Views: 346
  • 1406746664340.jpg
    1406746664340.jpg
    91 KB · Views: 353
Hizo picha zinatosha kutuambia hapo ni Goba kweli?, mbona kama udongo mwekundu hivi, ni Dar kweli hapo?
 
Sisi tunatafta appartments za NHC wewe unaturudish enzi za ujima?
Hivyo viwanja vina kesi mahakama kuu ya Ardhi,buyer bewer,naujua sana huo mgogoro,jamaa wamefidiwa alafu wanauza tena,hivi ninyi wakwere mmefanya Dsm hatimiliki yenuee.

Mama rwakatare majumba yake yamevunjwa seuze choka mbaya ya ghoba!
 
victorserv bado unataka apartment za NHC? Ipo moja hapo Shekilango bei Laki 6 kwa mwezi. Kama unahitaji sema
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom