Viwanja vinakopeshwa Chanika

Sir Kanumba

Member
Dec 25, 2014
49
2
Lile zoezi la kugawa VIWANJA chanika linaendelea njoo ujipatie kiwanja chako mapema,
bei ya kiwanja kimoja ni sh milion na laki tano kwa kesh MIKOPO ni sh milion na laki Saba
viwanja vinapatikana chanika mwisho na chanika zingiziwa
kwa saizi tofauti
CONT. 0715416464
 
Mkuu nitoe wasi wasi,
hii chini ni post ya Mwaka 2012/November, vipi huko bei azipandi au Kunani?

https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/360819-viwanja-vinauzwa-chanika-zingiziwa-bei-poa.html

Nauza viwanja, vipo Chanika Zingiziwa (Dar es Salaam) km. 1.7 toka zingiziwa center. mita 20X20 (Tshs. 2,500,000/-) na 20X25 (Tshs. 3,000,000/-), kama uko serious tuwasiliane 0682826776
 
Zoezi la uuzwaji wa viwanja chanika linaendelea, viwanja vinapatikana
Chanika lukooni na ZINGIZIWA, bei ya kiwanja kama una cash inaanzia MILION na laki tano(1500000)kwa kiwanja
Size inaanzia 20 kwa 20 na kuendelea, mkopo unatakiwa kulipa nusu ya gharama ya kiwanja inaobaki
Unalipia ndani ya mwezi miwili na RIBA kiasi, ama unaweza kulipa kwa awamu yan installment

Naomba Kama una swali kuhusu tangazo langu nipigie kwa namba yangu muda mwingi sipo online kwenye
Jamii forum

NAMBA 0715 416464
 
imagejpeg
 
Back
Top Bottom