Viwanja vimepimwa, vina Ofa, vinauzwa Kigamboni Sumangila

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
Viwanja vipo kuanzia sqm 930, 1000, 1200, na kuendelea unaweza chukua kwa kuunganisha mpaka sqm 10,000. Ni umbali wa 33km toka feri ya magogoni . Eneo linaitwa mwanzo mgumu somangila . Bei ni 12,000 kwa sqm 1. Kwa anayehitaji kwenda kununua tuwasiliane 0657145555.

Pia tunavyo vya beach plot 2 ambayo ni umbali wa 3km toka baharini vinauzwa 25,000 @ sqm
 
kati ya hivi viwaja vipo ambavyo tayari vina hati na vingine vina ofa mfano kuna sqm 1501 hati, na sqm 900 hati vingine ndiyo vina ofa. vyote vinapatikana eneo moja sumangila mwanzo mgumu kigamboni
 
bado vipo vingi sana wadau karibuni tufanye biashara
 
Je, huko kuna ruti ya daladala ????????
na kama hipo inatoka wapi kwenda wapi???????
 
Je, huko kuna ruti ya daladala ????????
na kama hipo inatoka wapi kwenda wapi???????
ipo toka kigamboni kwenda kimbiji unashuka mwembe mtodo au anapanda feri kwenda mwembe mdogo nauli sh 600 swali lingine tafadhali?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom