Plot4Sale Viwanja Vilivyopimwa vya Bei Nzuri, Mkuranga - Pwani

makohnstruct

Member
May 8, 2015
29
7
Listing by: Bestates Properties +255786157788

Tunapenda kuwatangazia wananchi wote raia wa Tanzania, mwendelezo wa uuzaji viwanja kwa bei nafuu kwa kuzingatia viwango vya serikali.
Hati zinatolewa pindi taratibu za manunuzi zitakapokuwa zimekamilika.
Vimebaki kuanzia ukubwa wa 1000sqm (sawa na mita 40 x 25) kwenda juu.
Umeme na barabara vipo.
Ofisi zetu zipo Kariakoo, Dar es Salaam na Mkuranga mjini, Pwani.
Usafiri kuelekea site upo kila Jumatano, Alhamisi na Jumapili. Ukihitaji, jiandikishe mapema.

Bei ni kwa kila mita 1 ya mraba (1 square meter) kama ifuatavyo:
Nganje (ufukweni/beach)
1. Makazi: TSh 6000
2. Biashara: TSh 6500
Mkwalia Kitumbo (Mkuranga mjini)
1. Makazi: 5000
2. Biashara: 5500

Viwanja vya mbele ya ufukwe wa bahari, Hoteli, Viwanda na Taasisi ni TSh 15,000

Pia Tunapatikana:
Facebook @BestatesTanzania
Instagram @bestates_tanzania
IMG_20161006_221338.jpg
 
Hivi kutoka kariakoo hadi hapo mkuranga vilipo viwanja, je ni umbali wa KMs ngapi??

Kkoo hadi mbagala rangi 3 ni kama km 10. Mbgla rangi 3 hadi mkuranga mjini ni km 45. Mk mjini hadi mkwalia kitumbo kama km 4 hivi
 
mimi mzito wa mahesabu
nisaidie acre moja maeneo tajwa apo juu ambao siyo beach ni shing ngapi?
 
Aisee bei cheee
Hembu mkuu niambie,mnachukua kwa Awamu?
Maana mie nakuja Dar wiki Ijayo,sasa ningependa kujua awamu zenu mmezigawa vipi.Maana huu mpango umeingilia kati.

Je gharama za usafiri zipoje kwenda kuviona?
Maana nataka nije Mie,Wife,Brother,Mother,Sister na Watoto Wangu wawili of 7 and 11 yrs.
 
Aisee bei cheee
Hembu mkuu niambie,mnachukua kwa Awamu?
Maana mie nakuja Dar wiki Ijayo,sasa ningependa kujua awamu zenu mmezigawa vipi.Maana huu mpango umeingilia kati.

Je gharama za usafiri zipoje kwenda kuviona?
Maana nataka nije Mie,Wife,Brother,Mother,Sister na Watoto Wangu wawili of 7 and 11 yrs.
Unaweza lipa kwa awamu. Awamu tulizonazo ni 2 tu.
Unalipa nusu ya kuanzia kisha unamalizia nusu nyingine ndani ya miezi 3.
Usafiri wa kwenda site upo ila ni vizuri kama utatutaarifu siku ya kuja
 
Katika hii ramani viwanja vya ufukweni (beach) ni vipi?
 
Mkwalia Kitumbo ni Mkuranga mjini, maeneo jirani zilipo ofisi za halmashauri
napajua pale kitumbo shule ya msingi nimejenga kanyumba kadogo keupe kana vioo vyeusi mtaa mzima niko peke yangu mwene nyumba nzuri kama ni pale bora ukanunue mwenewe heka moja unaweza pata kwa laki 5 ukifika mkuranga mjini boda boda hadi kitumbo buku jero
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom