Viwanja vilivyopimwa vinauzwa, vipo temeke amani gomvu

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
Viwanja 24 vilivyopimwa vinauzwa, vina ukubwa mbali mbali kama ifuatavyo.

SQM 576 VIPO 3, SQM 741, 730, 1286, 450, 340,438,446, 576 VIPO 3 vinafuatana, 814,770 vipo 3 vinafuatana. viwanja hivi vimepimwa na vina block tayari mnunuzi ataandikiwa jina kisha kupewa hati yenye offer . eneo hili lipo umbali wa km kama 18hv kutoka kigamboni. kila sqm ni sh 9,500. tuwasiliane kwa anayetaka kuona ramani na kwenda kuangalia eneo. mimi ni commission agent bei hizi zimewekwa na mmiliki. 0657 145555, 0686 200 117 na 0755 099 291. pia kuna viwanja cha sqm 10,600 kwa ajiri ya ujenzi wa kituo cha mafuta.
 
Kuna njia mbili za kutoka nje ya kigamboni,
Pia kila njia mfano ya baharini ukifika pale mji mwema inagawanyika.

Waweza kufafanua ni Njia gani katika hizi??
 
Kuna njia mbili za kutoka nje ya kigamboni,
Pia kila njia mfano ya baharini ukifika pale mji mwema inagawanyika.

Waweza kufafanua ni Njia gani katika hizi??
ukifika mji mwema unanyoosha usikatishe kwenda kibada, ni km 16 kutoka feri nimepata uhakika wa km. karibu
 
ukifika mji mwema unanyoosha usikatishe kwenda kibada, ni km 16 kutoka feri nimepata uhakika wa km. karibu

sawa,
Hiyo ni njia ya Gezaulole.
Umbali from hii Main Road ukoje?
Miundombinu je?
 
sawa,
Hiyo ni njia ya Gezaulole.
Umbali from hii Main Road ukoje?
Miundombinu je?
Gezaulole ni mbele ya kibada , miundo mbinu iko powa gari zinaenda nyingi tu ndiyo maana nakwambia ni km 16 kutoka feri. kuna watu wengi wanaishi na wamejenga nyumba za kisasa . ondoa shaka ongea biashara
 
Umeulizwa umbali from main road (Tarmac/lami road) kuingia ndani ni Km ngapi??

Waweza kutumia 16km from ferry ukaongeza 10km Zingine ndani.

Nikitaka kuanya "survey" mwenyewe nitafikia wapi?
 
Umeulizwa umbali from main road (Tarmac/lami road) kuingia ndani ni Km ngapi??

Waweza kutumia 16km from ferry ukaongeza 10km Zingine ndani.

Nikitaka kuanya "survey" mwenyewe nitafikia wapi?

Ahsante kwa Msaada dada mzuri!!
 
nimepiga 0686 200 117, kapokea mwanamke hajui lolote kuhusu viwanja, kwanza kasema hana kiwanja, let me call another no
 
nimepiga 0686 200 117, kapokea mwanamke hajui lolote kuhusu viwanja, kwanza kasema hana kiwanja, let me call another no

Manispaa ya temeke walikuwa wanauza sq 1 kwa 6000 ambayo ilikuwa wizi kwa watanzania sasa wewe unaweka cha juu sq 1 9500

Mfano sq 2000 X 6000 = 12,000,000
na wewe 2000 X 9500=19,000,000 huu wizi :israel:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom