Viwanja na mashamba bei cheee.....

Oct 29, 2012
86
4
Viwanja na mashamba vinauzwa.

MAENEO: mkoa wa wa Pwani, unateremka Vikindu. Kwa kutokea Kongowe unaingia upande wa kushoto mpaka kijijini Kazole.

BEI: kiwanja cha nyumba mita 20 kwa 15, ambayo ni sawa na futi 60 kwa 45 ni Tsh. Milio1.5.

MAWASILIANO: kwa mawasiliano zaidi +255653422776

N.B. Unaweza kuongeza au kupunguza ukubwa wa kiwanja kutokana na pesa yako.
 
kiwanja ambacho hakijapimwa na hakina hati sikitaki na sishauri mtu anunue labda huko mashenzini lakini kwa maeneo au mikoa iliyopakana na DSM big no
 
Jamani msiogope bei. Kila mtu ana uhuru wa kuongea kuhusu bei anayoridhika nayo.

N.B. Maongezi ya bei yatafanyika kwa sms tu.
 
Naweza kupata shamba la ekari 25? bei itakuwa kiasi gani kama lipo?

Kuna mtu ana eneo Mkuranga heka 20 lipo Mkiu ni dk lisaa na nusu kutoka mbagala au dk 45 kutoka Mkuranga mjini.

Analiuza kwa Shs 18Mil..
Kama unahitaji eneo wasiliana nami kwa namba 0684474188..

Pia kabla ya kununua eneo ni vyema kuliona ili ujiridhishe kama ardhi hiyo inafaa kwa matumizi unayotaka kufanya katika eneo husika pia na umbali lilipo kutoka barabara ya rami.

Siku njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom