viwanja na majumba vinauzwa kigamboni

ChiefSkin

Member
Apr 11, 2015
83
25
VIWANJA VYA SERIKALI VYENYE HATI MILIKI MAENEO YA KIGAMBONI NA AMBAVYO HAVINA HATI MILIKI. PIA NYUMBA ZIPO

  1. VISIVYO NA HATI MILIKI
KIGAMBONI TOANGOMA
Viwanja vipo kuanzia milioni nne na nusu na kuendelea

1. Mita za mraba (meter square) = 845, bei milioni 18
2. Mita za mraba (meter square) = 750, bei milioni 15
3. Mita za mraba (meter square) = 780, bei milioni 13
4. Mita za mraba (meter square) = 400, bei milioni 4,5
5. Nusu eka, bei milioni 15

Vyote vipo Kigamboni Toangoma kilomita 1 kutoka barabara kuu ya lami.

MIKWAMBE KWA MIZENGO PINDA

kiwanja kipo mikwambe kwa Mizengo Pindakina na kina ukubwa wa mita 750, bei ni milioni 9

Kwa mawasiliano zaidi tuandikie au tupigie 0654229460 au whatsapp 0755040485

Viwanja vipo katika mpangilio na gari inafika mpaka kwenye viwanja husika.

PIA UNAWEZA KUTUTAJIA ENEO LOLOTE KIGAMBONI NA TUTAWEZA KUKUTAFUTIA ENEO LA UKUBWA WOWOTE ULE.


  1. VYENYE HATI MILIKI
Toangoma- kigamboni

  1. Block 2, 1339 square meter, bei milioni 50, ila maelewano yapo – kina hati miliki
  2. Block 1, 700 square meter, bei milioni 40, ila maelewano yapo-kina hati miliki
  3. Block 1, 1900 square meter, bei milioni 80,ila maelewano yapo, kina hati miliki
  4. Block 15, 800 square meter,bei milioni 30, ila maelewano yapo, kina hati miliki
  5. Block 10, 760 square meter,bei milioni 25, ila maelewano yapo, kina hati miliki
  6. Block 10, 600 square meter, milioni 15, ila maelewano yapo, kina hati miliki
Geza Ulole – Kigamboni

  1. Block 23, plot 266, 989 square meter, bei milioni 22 ila maelewano yapo – kina hati miliki

Kibada/full shangwe

  1. Block 17, sqm 600, bei milioni 35
  2. Block 17, sqm 1045, bei milioni 47
  3. Block 19, sqm 1200, bei milioni 48
  4. Block17, sqm 2100, bei milioni 100
  5. Block 16, sqm 1268, bei milioni 45
  6. Block 15, sqm 700, bei milioni 32
Pia vipo vingi zaidi ya ivi vilivyoorodheshwa katika maeneo tajwa na mengine tofauti.
kwa mawasiliano zaidi piga 0654229460 au whatsapp 0755040485
NYUMBA
NYUMBA ZIPO ZA UBORA NA UKUBWA TOFAUTI ZINAUZWA MAENEO YA KIGAMBONI TOANGOMA. ZIPO ZENYE HATI MILIKI NA ZISIZO NA HATI. BEI YA NYUMBA INAANZIA MILIONI 35 NA KUENDELEA. NYUMBA AMBAZO ZIKO CHINI YA MILIONI 35 PIA ZIPO ILA MAZINGIRA YAKE CLASSIC KAMA NYUMBA AMBAZO ZIKO JUU YA MILIONI 35
KWA SASA NYUMBA ZIPO ZA MILIONI 35, 60, 70, 180, 500.
DETAILS ZA NYUMBA HUSIKA UTATUMIWA WHATSAPP PAMOJA NA PICHA
kwa mawasiliano zaidi piga 0654229460 au whatsapp 0755040485
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom