Viwanja kwa bei nafuu Morogoro

Mangi wa Rombo

Senior Member
Sep 25, 2014
172
104
Habari!
Kama unahitaji kiwanja Kwa mkoa wa Morogoro tuwasiliane!
Viwanja vipo sehemu zifuatazo:
Katikati ya mji (Kihonda, Kichangani, Nanenane na Kilakala.) Bei kuanzia 8Mil kwa heka.
Nje kidogo ya mji Mkundi, Makunganya, Kwa Mwarabu (Kote huko daladala zipo na za uhakika muda wote wa kazi) bei kuanzia laki 8 kwa heka.

Kama upo morogoro na unaufaham mji wa morogoro basi utakubaliana na mimi kwamba hiyo ni bei "chee" ukilinganisha na spidi ya kukua kwa mji!
 
Join Date : 25th September 2014
Posts : 6
Rep Power : 305
Likes Received1
Likes Given0
 
Habari!
Kama unahitaji kiwanja Kwa mkoa wa Morogoro tuwasiliane!
Viwanja vipo sehemu zifuatazo:
Katikati ya mji (Kihonda, Kichangani, Nanenane na Kilakala.) Bei kuanzia 8Mil kwa heka.
Nje kidogo ya mji Mkundi, Makunganya, Kwa Mwarabu (Kote huko daladala zipo na za uhakika muda wote wa kazi) bei kuanzia laki 8 kwa heka.

Kama upo morogoro na unaufaham mji wa morogoro basi utakubaliana na mimi kwamba hiyo ni bei "chee" ukilinganisha na spidi ya kukua kwa mji!

Kama una nia kweli ya kununua, nicheki kwa namba hizi: 0762494688 Tafadhali usibip! Ama unaweza nicheki Facebook kwa kunitafuta kwa username "Mtei Junior Deodath"
N:b
Dalali Haitajiki
 
Ndio, ni Viwanja ambavyo vinamilikiwa na watu! Vina hati zenye utambulisho wa viwanja na wamiliki halali

Mkundi maeneo gani, baada ya kituo cha mafuta cha kwanza au kile cha pili baada ya mizani? au kule minarani?
 
Mkundi maeneo gani, baada ya kituo cha mafuta cha kwanza au kile cha pili baada ya mizani? au kule minarani?
Baada ya "minara mitatu" kituo kinachofuata ni "makunganya" then "kwa mwarabu" Hapo Makunganya na Kwa Mwarabu ndipo viwanja vilipo!
 
MangiWaRombo Dalali Mkuu wa Ardhi ndani ya mji kasoro bahari hongera kwa habari nzuri kama hizi. Hivi lile eneo la Ninja mara baada ya Quater za Reli kuja huku yalipo yale mafrem ya maduka mengi, linamilikiwa na nani mpka huku Area five chini. Je plot ya lower density ni milioni ngapi!? Na sasa mkiuza viwanja basi mkumbuke na kujenga nyumba za kisasa kwenye hivyo viwanja ili mji uwe na mandhari ya majengo yenye hadhi. Mfano jengo hili ni la vyumba vitatu tu na linafaa katika kiwanja cha 15x20.
 
Attachments

  • 1413478026919.jpg
    1413478026919.jpg
    103 KB · Views: 205
Last edited by a moderator:
MangiWaRombo Dalali Mkuu wa Ardhi ndani ya mji kasoro bahari hongera kwa habari nzuri kama hizi. Hivi lile eneo la Ninja mara baada ya Quater za Reli kuja huku yalipo yale mafrem ya maduka mengi, linamilikiwa na nani mpka huku Area five chini. Je plot ya lower density ni milioni ngapi!? Na sasa mkiuza viwanja basi mkumbuke na kujenga nyumba za kisasa kwenye hivyo viwanja ili mji uwe na mandhari ya majengo yenye hadhi. Mfano jengo hili ni la vyumba vitatu tu na linafaa katika kiwanja cha 15x20.
Mkuu eneo lote baada ya nyumba za wafanyakazi mpaka Kola-makaburini linamilikiwa na shirika la reli! Kwa upande wa kiwanja kinachoangaliana na eneo la area 5 Kinamilikiwa na kanisa ambalo wamelijenga mwisho kwenye kona ya njia panda ya 8-8! Nadhani ni Walokole (Protestants) kama sikosei! Usijali! Morogoro ni mji unaokuwa kwa kasi zaidi kwa sasa!
 
Last edited by a moderator:
Haya mkuu tutakuja kujenga huko vipi kanda za Tubuyu kuna plot za lower density!?
 
Watu wengi wanani-PM kutaka kujua nauli ya kutoka town mpaka mkundi! Jaman nauli ni 800/= Tshs tu! Kwa bodaboda ni 2500-3000/= Tshs!
 
Tuwe makin jaman kuna maeneo kayataja yana utata. Kabla hujanunua hakikisha una taarifa zote mm nilitaka kuuziwa hifadhi huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom