Viwanja kibada, kigamboni vinauzwa

mancon

Member
Dec 28, 2010
78
30
Viwanja viwili vilivyopo kibada, block 17 vinauzwa, ukubwa sqm 650 na 900. Bei 16mil na 22mil. mawasiliano ni darsuitors@yahoo.com
 
Con-man, sawa
A%20S-danger.gif
 
inaelekea hauko serious kuuza viwanja hivyo. Kwa kutumia hilo jina unawakimbiza wateja
 
Hata watoto watanicheka na kunizomea nikijitosa kununua kwako kisha nikapata shida yoyote.... Jina lako linatisha hautauza humu labda ubadili Id.
 
nimeitumia for years, sidhani kama mtu ananunua kiwanja kichwakichwa, utafanya all the necessary due diligence ... Usihofu kabisa, kuna watu wamenunua kwa jina hilo ...
 
no, kibada ni viwanja vya mradi wa serikali, halina tatizo lolote na vina hati
 
Mi natafuta mtu wa ku-share nae 13mil each tukachukue viwanja viwili vya Sqm 1,800 jumla (Sqm 900 x 2), vinauzwa jumla Tshs 26Mil
 
Mnataka awacon,mtu mwenyewe anajiita conman au amjui maana yake harafu bado mnaingia box,shauri yenu,mwenye macho amesikia
 
Kigamboni si ardhi hawafanyi processing yoyote? Hata kama vina hati mkiuziana utabadilishia wapi wakati wizara ishatoa stop orde kwa maeneo yote hayo?? Na juzi tu watu wametoka kupewa baria za kuitwa kuhakiki mali kwa mara ya mwisho! Pia kwa nini usitoe namba yako ya simu au email inayoeleweka?
 
Hizi bei za viwanja siku hizi mpaka zinatisha, hivi watu mnapata wapi hela jamani, hichi kimshahara cha serikali nasi tutanunua hivyo viwanja kweli? au ndio tunaambiwa tuwe wabadhirifu kinamna?
 
Viwanja vya kibada, vya serikali, havihusiki na stop order ya serikali. nakushauri ukipata nafasi utembelee maeneo hayo na utaona jinsi watu wanavyoendelea na ujenzi. Kuhusu hizo bei, inategemea na eneo. Kwa mfano, kama mtu anataka mbali zaidi kutoka ferry, anaweza kupata kwa bei nafuu zaidi.
 
Fuatilia vizuri utagundua viwanja vya Kibada, Kisota, Mwongozo (miradi ya serikali), ingwa viko ndani ya mradi wa mji mpya, havihusiki na stop order kwa vile vimepangwa vizuri tayari ..., na hati zinatolewa kama kawaida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom