Viwanja gani vizuri katika kupambana na maisha

Los santos

JF-Expert Member
Jan 14, 2021
964
2,045
Habari zenu Wana jamii forums, katika harakati za maisha watu wamekuwa wakienda maeneo mbalimbali duniani kupambana na maisha kwa kutafuta fursa mbalimbali, duniani Kuna nchi nyingi kama uingereza , ufaransa, Marekani , Sweden, Denmark, South Africa ambazo zimezoeleka na watu ingawa machimbo mengine yapo mfano wa hayo machimbo ni kama

ST. Kitts & Nevis, Aruba island,ST. Christina island, Faroe islands, Vanuatu, Samoa, New Zealand, Mauritius, St Maarten etc huku angalau hamna competition kubwa sana so flow ya hela itakuwa sio ngumu kama kwingine japo hizo sehem huwezi kosa mnigeria manake wale hata kwenye sayari ya venus unaweza wakuta...embu share experience Yako unayoona itanusua watu
 
Viwanja vizuri kupambana na maisha ni hivi vya hapa jijini Dar hasa kwa Mkapa, Kwa mkapa hatoki mtu Bro.
 
Back
Top Bottom