Viwanja 2 vinauzwa vipo chanika wilaya ya ilala

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
Kimoja kipo chanika wilaya ya ilala kimepimwa na kina hati kina sqm 726 kinauzwa 8.5 m . eneo hili ni nzuri lina nyumba nyingi za nzuri zimejengwa , gari linafika mpaka eneo la kiwanja .

Kiwanja cha pili kipo chanika eneo la buyuni , kimepimwa na kina hati kina sqm 920, kipo tambalale na gari inafika mpaka kwenye kiwanja bei ni 13.5M.

wamiliki wa viwanja wapo na nyaraka muhimu zipo . mimi ni dalali tuwasiiliane 0657 145555 na 0755 099 291 Akiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom