M MZEE MOI New Member Jul 4, 2015 2 0 Aug 24, 2015 #1 salaam, napenda kujua viwango vipya vya mishahara serikalini vya mwaka 2015/2016
K KAKA YAKO NAPITA JF-Expert Member May 16, 2014 1,322 232 Aug 24, 2015 #2 Google ni jibu zuri sana kwako
Kennedy JF-Expert Member Dec 28, 2011 49,412 54,933 Aug 24, 2015 #3 Huwezi Kupata Mshahara Mpya Ndani Ya Ccm Oktoba Itoe Ccm Utapata Viwango Vipya
napenda JF-Expert Member Jul 14, 2015 485 90 Aug 25, 2015 #4 Kennedy said: Huwezi Kupata Mshahara Mpya Ndani Ya Ccm Oktoba Itoe Ccm Utapata Viwango Vipya Click to expand... Dah, yaani ww ni siasa tu? fikirieni na mambo mengine
Kennedy said: Huwezi Kupata Mshahara Mpya Ndani Ya Ccm Oktoba Itoe Ccm Utapata Viwango Vipya Click to expand... Dah, yaani ww ni siasa tu? fikirieni na mambo mengine
meckbash Member Aug 20, 2015 93 30 Aug 25, 2015 #5 Kuna majuha humu mtu auliza swali zuri mwaleta mihemuko ya siasa