VIWANDA NA BIASHARA waziri aomba maji

mkuu, hivi Tanzania tuna viwanda kweli? najua tulishawagawia wahindi vyote - sasa huyu waziri na wizara yake wanasimamia vipi?
 
mkuu, hivi Tanzania tuna viwanda kweli? najua tulishawagawia wahindi vyote - sasa huyu waziri na wizara yake wanasimamia vipi?

Mkubwa... we acha tu!!... Nchi hii ni shamba la bibi... tena bibi marehemu.
 
Si tunavyo viwanda vidogo vidogo (SIDO) jamani?!! Nadhani ingeitwa vizara ya sido na cbe
 
Back
Top Bottom