ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 43,670
- 90,153
naomba nije mm hapo ghetto unipe mkanda mzima
ha ha..! Na wewe wataka kupata cd??
naomba nije mm hapo ghetto unipe mkanda mzima
"laki na nusu" khaaa! We mwanamke...!!Nitumie nauli bas...laki na nusu
Ngoja kwanza nimuombe kibali cha kumtaja.
Fine, maana subira yavuta kheri!
kwa hiyo mmeshafunga ndoa au bado mnafanya mazoezi?