Yah.. ni ukweli usiopingika ila hauwez kuona umuhimu wa #JIWE wakt matumizi nalo hunaNimepita katika Vituo vya takriban 16 leo Jijini Dar vingi wanadai wameishiwa Mafuta. Lakini kwa haraka unagundua tu ni plan ya kusubiri Bei mpya zitakazotangazwa Kesho.
Kipindi cha Jiwe haya mambo hayakuwepo
songea ni vituo viwili tu vinatoa huduma ya mafutaSio Dar tu, hadi huku kwetu Igang'dung'
A man from future, September 2025
Ukiona wanafanya hivyo ujue tayari wameshajua kuwa bei za mwezi huu zitapanda.Kwa mfano Bei ikishuka wataendelea kugoma
Mafuta kupanda hiyo ni sure odd mkuu. Yaani mafuta kupanda ni uhakika.Kwa mfano Bei ikishuka wataendelea kugoma
Bei haiwezi kupungua wakati huu, wakati manunuzi ya mafuta ya mwezi uliopita yalipokuwa yanafanyika bei ya mafuta iliendelea kupaa katika soko la dunia na kufikia leo crude oil imefika dollar 90 kwa pipa yani 90$/barrel kutoka dollar 80 za awaliKwa mfano Bei ikishuka wataendelea kugoma