Vituko vya kizushi

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
350
1.Sister duu alkuwa ndani ya daladala, tumbo likaanza kumsumbua coz ya gesi. Demu akaona bora ajambe kwa kufuata biti la mziki.... Dah, kweli kajamba kufuata biti freshy na tumbo lika2lia.Alipokuwa akishuka akashangaa kuona wa2 wanamshangaa kichizi, sister duu kujicheki ndo akakumbuka kuwa ameva earphones so mziki alikuwa akisikia mwenyewe..!!!

2.Majambazi wameteka basi wamekomba kila kitu mpaka nguo. Jambazi mmoja akaanza kuamrisha kama ifuatavyo:
Jambazi: "Haya nani kabaki na nguo?!"
Shoga aliyekuwa amekaa na mshkaji akasiki akiropoka...
"Huyu hapa kabaki na nguo ya ndani!!!"
Jambazi: "Avue mwenyewe kabla sijampiga risasi kwenye makalio..."


Jamaa akavua kisha jambazi akaamrisha tena...
Jambazi: "Haya hivyo hivyo mlivyo kila mtu amgeukie mwenzie, mkumbatiane kisha mfanye mapenzi. Ni amri, haijalishi umekaa na nani..."


Basi watu kibao wakakomaa, walokaa na madem wakali ikawa sana tu. Kazi ikawa kwa yule jamaa aliyekuwa amekaa na shoga... Yule shoga bila kusita akatabasamu na kumwinamia jamaa huku akimwambia...
"Haya, anza wewe kufanya..!!!"


Basi yule shoga akaendelea kuinama huku akimwangalia jamaa kwa smile kubwa.... Daaah, jamaa si akawa hataki... Mara shoga akapiga kelele....
"KAKA JAMBADHI, KAKA JAMBADHI.... ETI HUYU HATAKI..."

3. Siku moja tumbili alikuwa anataka kwenda kujiua huko porini, sasa alipofika porini alimuona simba amelala na akaona ni bora nikamchokoze simba ili aniuwe,so tumbili alimnyemelea simba na kumdunga kidole on his ASS, simba alishtuka sana na akasema kwa ukali, ni nani huyo anachezea maisha ? tumbili akamjibu ni mimi, simba akamuuliza kuna yeyote aliyekuona ukinidunga, tumbili akajibu, la hakuna. Simba akamwambia sawa dunga chengine...

4.Mmasai alienda kwa mara ya kwanza kuchoma sindano hospitalini...


Alipoanza kuchomwa ghafla akamuuliza nesi, "Uuuuuuwi, we mama yoyo, bado jaona tundu huko nyuma mpaka natoboa ingine?!"

5.MIELEKA NOMA.....! Mtoto aliamka usiku baada ya kuckia mechi kati ya baba na mama kupamba moto-Mtoto akamkuta baba yupo juu, miguu ya mama ameipeleka mbele usawa wa kichwa, yeye akajua ile ni mieleka Live bila refa akaamka.....kuchungulia mabega ya mama yote yamegusa godoro akaanza kupiga godoro huku akihesabu.....PA! Moja,PA! Mbili. PA! Tatu! Akamshika mkono baba na kumwambia umeshinda....!!!



Kwa leo naisha hapa!!!
 
hahahahahahahah...
...kufuata biti fresh - mambo ya duu
kaka jambadhi........mambo ya punga
u made my day mkulu...
 
asanteni,ntajitahidi kuongeza na nyengne
 
Copy & paste
Hahaha!we vipi..sasa kama copy n paste we inakuuma nini,je kama mi ndo orginal source,kwanza aliyeweka funnction ya copy and paste kwenye computer si ni kwa ajili ya vitu kama hivi.Usijifanye unajua sana jiite google basi
 
Hahaha!we vipi..sasa kama copy n paste we inakuuma nini,je kama mi ndo orginal source,kwanza aliyeweka funnction ya copy and paste kwenye computer si ni kwa ajili ya vitu kama hivi.Usijifanye unajua sana jiite google basi

Mr google
 
hahahahahahahahahahahahaahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahhahahahahhahahahahahahahhahahahahahahahhahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaahhhaaaaaaaaaaaaaaaahaaahahahahahahahahhahahahahahhahahahahhhahhhahahahahahahahahahahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom