Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 3,991
- 8,089
Nawasalimu katika jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania
Marekani imekuwa superpower kwa muda mrefu sana, leo tujifunze vitu vichache toka kwa hili taifa ili vitusaidie kwenye maisha yetu ya kila siku
#1. Kuwa na Mipango thabiti, Hawa jamaa wakitaka kitu Fulani wanaita wataalamu wa eneo husika na kisha kuweka mipango vizuri kabisa baada ya kujiridhisha na kila kitu ikiwemo gharama ya project husika, utaalamu unaotakiwa, muda wa kutimiza project na changamoto zake na back up yake ndo mana utasikia wanasema twende na plan B na utakuta plan B ilishaandaliwa kila kitu including plan yake na sisi tujifunze kuweka mipango yetu kitaalamu kabisa, sio kwa kutumia heresays.
#2. Kuwa mvumilivu maana timing ya mipango huwa ina matter sana katika kuleta matokeo chanya,Katika kitu USA ni pro ni kwenye timing, hawa jamaa unaweza wakosea leo ila wakawa kimya kama hakuna kitu ila kwa ground wanajipanga, utakuta washaanzisha hadi vitengo huko jeshini kwa ajiili ya mission wanayotaka kufanya miaka mitano mbele wakisubiria tu ujichanganye uingie king wapite na kichwa chako,mfano kwa sasa hawa jamaa wanasubiri tu China avunje sheria za UN wamuanzishie shida, ila kwenye maisha yetu tuwe wapole, sio umesikia kuna biashara inalipa wewe ushalipa frame hata hujui vizuri hesabu yake plus uendeshaji wake, jipe muda uitafiti na uifanyie maandalizi sahihi sio kukurupuka
#3. Kuwa ruthless, ukishaanza project yako ifanye kwa ukubwa wote iwe kwa jasho au damu, jitume daily kufikia malengo yako daima, fanya kama USA, hawa jamaa wakiamua project yeyote either iwe kiuchumi au kijeshi ni wanakuwa ruthless Sanaa,Tazama space X inavyochoma pesa nyingi in trial and error mode but yote hii ni katika kutoa kitu perfect, ingekuwa bongo tungesema anachezea pesa za walipa kodi, pia refer walivyompakia mkongo Libya au Iraq, au tazama makampuni yao yanavyofanya vitu kwa ukubwa sanaaa, yan kama hii JF ingekuwa USA hawa jamaa wangekuwa wanawaza kuwa global na sio kuomba funds za wahisani kuiendesha, na sisi kwenye mipango yetu tuwe ruthless iwe mizuri au mibaya, kikubwa fanikisha lengo lako,
“AT THE END RESULTS JUSTIFY THE MEANS’
#4. Kuwa na exit/backup plan katika kila jambo, USA hawa jamaa wanakuwaga na mipango in case kila kitu kikafeli, hawa jamaa kwenye swala la bima hawapo nyuma, huku bongo hata bima ya NHIF hatutaki kukata, hawa jamaa washaanza plan za kwenda mars just in case dunia ikawa haikaliki, just imagine wanawaza siku dunia ikawa haikaliki and wanacreate backup plan lakini sisi hapa bongo hatujiandai kwa emergency kabisa, Inashauriwa kuwa na acc ya emergency fund, na uorodhoshe vitu ambavo ni emergency kwako eg msiba, ugonjwa na kila mwezi jiwekee kias Fulani katika acc hio kulingana na kipato chako, na usitumie pesa hio katika masuala ambayo sio emergency kwako, hio ndo backup plan ambayo unapanga mapema na hukutwi na kitu kwa kushtukiza kwa kuwa sote tunajua hakuna kipya chini ya jua, eg mtu anaposema sikujua kama nitaumwa unajiuliza huyu mtu hajui kama binadamu tunaumwa? Kwann hakuwa na backup? Matokeo yake tukipata emergency moja tu tunakuwa tumeparanganyika jumla, leo una afya what if ukiumwa, una backup? Leo ukiachwa na baby plan yako ni nini?
So guys tuwe na backup plan kwa kila kitu kwenye maisha yetu, kuna watu watasema ada ya mtoto wao imekuja kama emergency hahah,tujiwekee pia akiba yetu ya uzeeni kupitia mifuko kama UTT au hisa za makampuni, haijalishi umeajiriwa au umejiajiri jiwekee malengo ya kuweka japo 100K kila mwezi katika mifuko ya UTT au hisa, unapofika miaka 65 unakuwa na kama 100M+ (kwa sababu ya compounding interests) hapo utakuwa unavuta mpunga mwingi as dividents . Tuishi kama USA,
“PREPARE FOR THE WORST ALWAYS BECAUSE IT WILL COME”
#5. DIVERSIFY Kwenye hili swala ndipo USA alipowapigia gap USSR wakati USSR wapo busy na silaha na jeshi bila kukumbuka kitu kingine ila USA alikuwa anaenda na kila kitu, leo hii USA ana kampuni kubwa kwenye kila idara kuanzia chakula kwa kina McDonald mpaka kwenye electronics kwa kina Apple, ila Russia wao kitu kikubwa ni jeshi tu, Hata biblia imesema tupande mbegu nyingi mana hatujui zipi zitakubali, ukifungua biashara ikakubali, ikuze kisha tafuta mtaji uweke biashara nyingine isiohusiana na hio kabisa ili uwe safe, kwenye mahusiano na jamii kuwa na ,marafiki wa kila aina, jeshi, shule, Afya Siasa etc
#6. Wapende wanaokupenda, Nchi zote zilizokuwa karibu USA zinaendelea sana compared na zile zilizo mbali nae, Nchi zilizo karibu na China na USA bado zinachechemea (refer N.Korea na S. Korea kama mfano) kwa sababu nchi hizo hazijui kuwapenda wanaowapenda, hapa bongo hakuna barabara ya Mrusi, ila kuna vitu kibao vya USA, kwa hio hata wewe hakikisha kama mkeo anakupenda na wew unampenda kwa kiasi kile kile au Zaidi, ukiona mtu ni muaminifu kwako na wewe kuwa muaminifu kwake
Vingine tutaongeza kwa comments section
Ahsante kwa kusoma mawazo yangu
Ni mimi yule yule,
Beberu J
NB. Ndoto ya kuinunua JF bado ipo, Mexence Melo ategemee kuniona ofisin kwake siku moja
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app