Vitu vya kubeba unapoenda kulala kwa mwanaume Mara ya kwanza

mbavu zangu jaman, wewe mkuu ni kiboko

teh teh, nimecheka kama mazuri vile

Nimecheka sana nikawaza ulikuwa kwenye mazingira gani hadi ukawaza haya?

thank you sana you made my day Miss
 
Papuchi yako cku hiyo najua ilifanywa sanaaa,nipe na mm basi
1. Kitambaa cha kufunga kichwani, si unajua tena nywele zinasumbua wakati wa kuoga au kulala so jipange hivo hawanaga na ukikikuta ujue kuna shida

2. Khanga nyepesi. Hata hizo hawanaga ukikuta ipo jua kuna mambo

3. Mswaki. Jikeep clean yaani hata ukipewa maji tu ukimaliza kunywa swaki. Harufu mbaya mbaya inaweza ikakufanya ukatolewa mjengoni kabla hakujapambazuka.

4. Usile samaki wala dagaa.Vitu vya shomboshombo achana navyo

5. Uwe na kiberiti.

Ukiachia ushuzi unaonuka washa njiti moja then nzima ili kuua soo. Ila ni vema usile sana ili usijambe maana hutoalikwa tena mjengoni

Itaendelea...
 
Kuna ushuzi unaweza ukautoa yani ukakuchanganya hidi wewe ukajiuliza hvi ni wewe au hayati anayetembea ukaamka kikakamavu pale ulipokaa na kujipigia saluti
 
1. Kitambaa cha kufunga kichwani, si unajua tena nywele zinasumbua wakati wa kuoga au kulala so jipange hivo hawanaga na ukikikuta ujue kuna shida

2. Khanga nyepesi. Hata hizo hawanaga ukikuta ipo jua kuna mambo

3. Mswaki. Jikeep clean yaani hata ukipewa maji tu ukimaliza kunywa swaki. Harufu mbaya mbaya inaweza ikakufanya ukatolewa mjengoni kabla hakujapambazuka.

4. Usile samaki wala dagaa.Vitu vya shomboshombo achana navyo

5. Uwe na kiberiti.

Ukiachia ushuzi unaonuka washa njiti moja then nzima ili kuua soo. Ila ni vema usile sana ili usijambe maana hutoalikwa tena mjengoni

Itaendelea...
Ha ha ha
 
Back
Top Bottom