Vitu vizuri ambavyo madikteta 05 wamefanya na kuacha historia duniani

Huwa nashangaa sana kijana wa kitanzania anashindwa ata kurudisha akili kidogo nyuma uyo ghadaf na amini ndio walioteketeza roho za makamanda wetu kagera and they died for us, leo ww kwa maslah sijui ya nini unawaona bora kuliko watu wa nchi yako kwel nimeamin mtu mweusi anahitaj tena kutawaliwa
nami nashagaa mkuu. kwanza Ghaddafi ni gaidi
 
Waliokuwa madikteta bila chenga wanatetewa ila Magufuli ni dictator! Unafiki wa watanzania unajidhihirisha tena wa kutetea na kusifia kila kitu cha nje isipokuwa chao.
 
Waliokuwa madikteta bila chenga wanatetewa ila Magufuli ni dictator! Unafiki wa watanzania unajidhihirisha tena wa kutetea na kusifia kila kitu cha nje isipokuwa chao.
hapa uwe unashushusha na evidence(specific legal evidence and not political propaganda), vinginevyo mchango huu utakuwa katika level za siasa sio HISTORIA
 
kwa historia hizi inaonyesha utwala wa zamani/kipindi hicho sio kama wa sasa
nafikiri zamani walikaa kimachale zaidi
haikuwezekana kuwapa wananchi uhuru wa moja kwa moja kuhofia mapinduzi
maana mapinduzi yalikua kama fashion kipindi hicho
inaonekana ili walazimu viongozi kuwabana wananchi kwa kiasi fulani..
iliwasilete figisu figisu
 
Namkubali Muammar Gaddafi
Allah ampe Jannat Firdaus
Amiin.
sijawahi kuamini udikteta wa Qaddafi? Mungu ni mjuzi zaidi.

Sisi watanzania tuliokuwa hai kati mwaka 1972 na 1979, tutamkumbuka sana Kanali Qadaffi kwa kutuma jeshi lake kumsaidia Amini kutuvamia Tanzania, ingawa jeshi letu imara (JWTZ) liliwateka wengi wao na kuwaridisha kwao bila madhara yoyote. Hata hivyo baada ya vita ile ya Kagera, Gaddafi alielewana sana na Nyerere na ndiyo moja ya sababu iliyofanya Amini ahamie Saudi Arabia kutoka Libya hadi mwisho wa maisha yake.

Hata mimi nikimchunguza sana Gadaffi huwa sioni tatizo lolote naye kwa vile aliwatumikia raia wake vizuri sana, ila kosa kubwa alilofanya na ambalo linamfanya awe dikteta ni lile la ku-centralize madaraka ya kuendesha nchi mikononi mwake na familia yake tu kama vile hakuna raia wengine wanaoweza kufanya hivyo.
 
Na kuaanda watoto wake kuchukua hatamu za uongozi.Kwa maneno rahisi sana hakuona mtu mwingine nje ya uzao wake wa kuweza kutawala Libya.
 
Mfalme Mbowe

Kwa kubadili gia angani na kuuza chama kwa mafisadi
ha ha ha ha ha.....umelonga mkuu.......na mwisho wa siku mtu ambaye anaelementi za udikteta huwa anawaita wenzake madikteta hata ambapo hawajafanya udikteta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom