Vita ya Propaganda itaposhindwa tegemeeni haya...

Kwani unadhani mabilioni ya EPA yaliyorudishwa ni sababu ya nini kama si kutimiza wajibu wa kusimamia utumiaji mzuri wa rasilimali za serikali?

Kwani mabadiliko ya uongozi TBS na kwenye uwaziri wa Viwanda na biashara ni kwa ajili ya nini kama si kwa CDM kutimiza wajibu wake wa kuangalia mwenendo mzuri wa utumishi wa serikali?

Kuna wajibu wa uwakilishi unaotetea maslahi ya mtu wa kawaida bungeni, huo watu wanaona.


Yapo mengi tu, ila macho yako hayako tayari kuona.
Bado hatupo pamoja mkuu, na ukikamata nchi hii utaiendesha kwa sera ipi?

Au utamlaumu nani kwa failures zako katika uendeshaji.
Nchi haiendeshwi au kutawaliwa kwa bahati nasibu.
 
Bado hatupo pamoja mkuu, na ukikamata nchi hii utaiendesha kwa sera ipi?

Au utamlaumu nani kwa failures zako katika uendeshaji.
Nchi haiendeshwi au kutawaliwa kwa bahati nasibu.
Naona unajaribu kutetea vitu vingi ambavyo haviwezekaniki.

Lakini Kwa kuwa umegusia suala la sera na kutawala ngoja nikuulize kidogo.

Kwa sasa CCM tunaongoza nchi kwa sera gani?

Siku CCM tukiwa chama cha upinzani tutaweza kufanya siasa kweli?
 
Naona unajaribu kutetea vitu vingi ambavyo haviwezekaniki.

Lakini Kwa kuwa umegusia suala la sera na kutawala ngoja nikuulize kidogo.

Kwa sasa CCM tunaongoza nchi kwa sera gani?

Siku CCM tukiwa chama cha upinzani tutaweza kufanya siasa kweli?
Now you are talking.
Ngoja niamke salama , Inshallah, tuanze ku- propound dynamic development theories.
 
Bado hatupo pamoja mkuu, na ukikamata nchi hii utaiendesha kwa sera ipi?

Au utamlaumu nani kwa failures zako katika uendeshaji.
Nchi haiendeshwi au kutawaliwa kwa bahati nasibu.
Sera zipo, ingawa hii sio thread yake ntakuwekea.

Ipo ilani ya uchaguzi yenye kurasa 90 kwa 2010-2015. Hii hapa nimea attach:

Lakini kwa kifupi angalia video hizi zinazoelezea sera kwa kifupi kama anavyoelezea Mh. John Mnyika






Soma uzielewe.
 

Attachments

  • Ilani 2010-2015 (1).pdf
    292.1 KB · Views: 42
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu nyie mashabiki wa CHADEMA. Ni kutokubaliana na ukweli hata mnapouona machoni.

Kuna kada mwenzenu alisema M4C ni njama tu za kuhujumu nchi isitawalike na kweli mmeshirikiana na polisi katika mauaji huko Morogoro na Iringa, licha ya kutokuwepo ulazima wa vurugu hizo.

Kama mikakati ya CDM ni kupambana na dola basi tuendelee kutegemea vurugu tu nchini ili CDM ichukue nchi kwa kumwaga damu za waTanzania wasio na hatia.

Na huo ndio naita "ukombozi" wa kijinga.


http://www.google.com/m/search?client=ms-samsung&channel=mm
 
NYUMBANI+1.JPG

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!: Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!
- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA M,WENZAKO SLAA AJIPIME!! KIDUMU CCM! KIDUMU CHAMA TAWALA!! HA! HA! HA! HA!
- LE MUTUZ!!
 
Sera zipo, ingawa hii sio thread yake ntakuwekea.

Ipo ilani ya uchaguzi yenye kurasa 90 kwa 2010-2015. Hii hapa nimea attach:

Lakini kwa kifupi angalia video hizi zinazoelezea sera kwa kifupi kama anavyoelezea Mh. John Mnyika






Soma uzielewe.

Tupo pamoja mkuu, ngoja nizipitie
Now we are talking.
 
Last edited by a moderator:
Another shallow thinker!This post does not merit any meaningful response.

Nina wasi wasi kama unaelewa hata unachokiongelea!
wenye uelewa wamejua nilichomaanisha. Kuwaita watu shallow doesnt make them shallow brother unless u prove beyond doubt that are shallow. If u think im shallow then for sure u will be the shallowest thinker! What i explained is clear for those with clean mind, but for the puppet and cheap minded is of course shallow! Anyway , u might be right coz it seems you always have your own definitions of terms,may be shallowness to u is whatever is against you! you called those who are fighting for changes , that are fighting for their stomachs , nilichokujibu ni kwamba its better them fighting for their stomachs kuliko wewe na wenzako mnaofikiri kwa MATUMBO! I have no doubt about this comment and im sure wenye uelewa wameelewa except you simply bcoz of your blind love to your party that you have never been part of it! Im so sorry for u! I cannot do anything rather than simply PRAY for u! Kwakukusaidia siku nyingine , TRY TO HIDE YOUR IGNORANCE AND ONLY EXPOSE YOUR WISDOM!
 
Hoja hii nilipoileta ilikuwa hata ya Arusha hayatokea lakini naanza kuamini nilikuwa nipo sahihi sana. Hebu angalieni vyombo vya habari leo hii kama ITV nacho kilivyobadilika na kuwa cha kijinga kabisa.

Ukiacha hayo hata matumizi ya nguvu ya Jeshi la Polisi nayo yameongezeka maradufu hasa maeneo ambayo CCM ipo hoi. Sipati picha kama CCM ikikataliwa karibu nusu nchi sijui kama itaweza kukabiliana na nguvu hiyo ya umma.

Kuna haja ya kujiuliza maswali mengi ya wapi tunakwenda na kama tutafika?
 
Back
Top Bottom