Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,786
- 1,710
Soma sheria ya vyama vya siasa iko kwenye thread hii:Tatizo lenu nyie mliolewa uCHADEMA. Ni kutokubaliana na ukweli hata mnapouona machoni.
Kuna kada mwenzenu alisema M4C ni njama tu za kuhujumu nchi isitawalike na kweli mmeshirikiana na polisi katika mauaji huko Morogoro na Iringa, licha ya kutokuwepo ulazima wa vurugu hizo.
Kama mikakati ya CDM ni kupambana na dola basi tuendelee kutegemea vurugu tu nchini ili CDM ichukue nchi kwa kumwaga damu za waTanzania wasio na hatia.
Na huo ndio naita "ukombozi" wa kijinga.
Sera zenu za kilimo ziko wapi
Sera zenu za biashara ziko wapi
Sera zenu za kuondoa uasikini ziko wapi
Sera zenu za kuboresha miundombinu ziko wapi
Sera za viwanda,uchumi, nishati, ardhi.......vyote vipo wapi?
Ati mnsubiri kumkomboa mtanzania?....... Au mna subiri kukomboa matumbo yenu?
Halafu mtu na "akili" kama hapo juu anafikiri mustakabali wa watanzania unaanza na kuishia na Polisi, TISS au TPDF ?
What shallow thinking!
Posti ya hapo juu na ni watu wajinga wajinga tu wataisapoti, wengi tuna jua kuwa CDM is hollow!
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...2906-tuijadili-sheria-ya-vyama-vya-siasa.html
Kisha tueleze wapi Chadema wamekiuka mwenendo wa vyama vya siasa.