johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,617
- 145,338
Nimesoma mnyukano wa Halima Mdee na Tundu Lissu kama ilivyohabarishwa na Mwanahalisi Digital nimebaki nacheka tu.
Sasa wewe Halima Mdee kama kweli unaipenda Chadema ulishaambiwa na Freeman Mbowe pale hotelini Nairobi kwamba omba msamaha, tema Ubunge then Makamanda wa Ufipa watakupokea
Kupigana Vita na Watu wa Nyumbani kwako huku umejificha kwa jirani ni hatari Sana kikafara πΌ
Baadae Mlale Unono πππ