MtazamoWangu
JF-Expert Member
- Apr 25, 2009
- 313
- 7
Katika majimbo ambayo tayari moto umeanza kuwaka kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010 nafasi ya ubunge ni jimbo la bumbuli....
Wiki magazeti mengi yamekuwa yakiongelea kuhusu mzee shelukindo...jana gazeti la rai liliandika wa bumbuli wamemuambia mhe.shelukindo basi...leo kuna gazeti la mkakati..lina habari kama hiyo..linasema, mhe. Aitwa aagwe....kazi ipo..lakini magazeti yote yamekuwa yanaelekea sehemu moja tu...kumchafua mzee shelukindo, sijajua kama kuna mkono wa wakubwa juu ya hili lakini kuna ajenda juu ya hili....
Mpaka sasa wamejitokeza vijana wawili wanaotaka kuchuana na mzee shelukindo jimboni hapo;
1. January makamba: Wengi tunamjua na wasifu wake, na ndie anayepewa nafasi kubwa ya kuchuana na mzee shelukindo..
2. Abdulkadir mgheni kaniki: Wengi hatumjui lakini nae ameonyesha upinzani mkali
wapo wanaosema january ndio chaguo la wana bumbuli lakini pia vita yake na mzee shelukindo imefikia hatua ambayo wameamua kuchafuana....wakati ambapo abdulkadir anaonekana kuwa neutral....wengi wamemsifia.....hata sisi huku dodoma tuliwaalika bwana january na abdulkadir kwenye kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu wanaotoka mkoa wa tanga ili tuwafahamu lakni alitokea abdulkadir na january alituma mwakilishi, lakni tulipata nafasi ya kumfahamu abdulkadir, wengi walivutiwa na wasfu wake na kwa kuzingatia ni kijana mdogo sana,kama nakumbuka ana umri wa miaka30. Tulimuomba atutumie cv yake....na hata baada ya kuongea nae tulijaribu kupiga simu jimboni na wengi walisema safari hiini vijana tuuu.
Ni kweli mzee shelukindo hakubalik tena na sisi kam vijana tumeamua kuwaunga vijana wenzetu mkono kwa namna zote.
Hata mzee shelukind mwenyewe ameshaoyesha dalili za kukata tamaa na ameelewa nini wananchi wanatakka mana hata vikao vyake vingi anakumbana na upinzani mkali pengine hata kuzomewa.....
Juzi mzee shelukindo amelalamikia baadhi ya wagombea kuanza kampeni kuanza kampeni kabla ya wakati....
Kazi ipo...