rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
Ukisoma kwa makini kitabu cha Daniel na Ezekia katika agano la kale utagundua utabiri wao ulilenga nyakati tulizo nazo,vitabu hivi vinatabiri vita ya tatu ya Dunia itaanzishwa na Mfalme wa kusini (Israel)
Mfalme wa Kusini atashambulia mfalme wa kaskazini (Iran)au kwa jina lingine Persian empire ndipo hapo vita kuu ya kuingamiza dunia itakapo anza rasmi
najiuliza kama kuna connection kati ya vita tunayosubiri ya Israel na Iran juu ya utabiri huu,nafikiri kuna haja ya kujadili madhara yatakayoletwa na vita hii hasa ukizingatia sisi waafrica tupo tunahangaika zaidi na kupambana na hali ngumu ya maisha na ukosefu wa viongozi bora wakati wenzetu wanajiandaa na madhara ya vita
Waafrica mara nyingi tumekuwa watu kudharauliwa zaidi na ushahidi ni pale Marekani alipotuonya juu ya Uchina kuja kututawala tena
kama una point za kusaidia kuelewa zaidi madhara ya hii vita tunaomba share na sisi ili ikiwezekana tujiandae mapema