Rejea kusoma sentensi vyema, nachelea sina muda wa ufafanuzi.Kwanini u-conclude kosa liko liko kwa uhamiaji au afisa wa ifakara tu? Kwani mwombaji hawezi kuwa alitenda kosa la kufanya shughuli isiyoendana na visa yake? Huwezi kuja na conclusion za aina hii bila kusikiliza pande zote.
soma kichwa cha thread,hivi hata hivyo kuna sheria inayoruhusu watu kuuza wanyama kutoka kweney mbuga zetu? au mafisadi kuchota hela? ncho ishauzwa hii ohoooowe kaa tuMkuu lakini ndio sheria inavyotaka?
Ndugu wana JF huyo mzungu kutoka Amerika amekuja kwa short vist katika tasisi fulani hapo Ifakara na hafanyi kazi yoyote ile.Anaagalia wenzeke wamefanikiwa vipi katki utafiti wa malaria hapo Ifakara.Ofisa uhamiahaji anakutana naye anaomba passport yake anamwambia wewe umepewe visa ambayo siyo lazima ulipe tena CTA mzungu anasema mimi nimeenda ubalozini nikaaambia nataka kwenda Ifakara kwa hiyo vist akagongewa visa kafiak Ifakara.Afisa uhamiaji anambiwa mimi sikuambiwa kama kuna malipo yoyote hapo Tanzania je kwa nini nilipe tena?Afisa uhamiaji anampleka polisi lakini baadae anachiwa je huyu mgeni anakosa gani?Kwa nini afisa uhamiaji asifike kwa wenji wake na kuwapa maelezo?Na kisa cha kwenda polisi ni baada ya kuombwa kitu kidogo na kukataa na baadae polisi afisi uhamiajia anasema jaamaa kamkataza kufanya kazi yake kwa makudi no nd maellezo aliyoandika polisi huyo jamaa wa Uhamiaji