Habari wanajukwaa,
Leo tugusie kidogo visa na vioja makazini. Kama mnavyojua kazini ni sehemu ya kutafutia riziki na wahenga walisema penye riziki hapakosi fitina Vimekuwa vikishuhudiwa visa na vioja mbalimbali makazini ikiwa ni pamoja na baadhi yawafanyakazi kujipendekeza kwa bosi na kumpelekea taarifa za kuwachongea wengine.
Baadhi ya maboss kutaka mahusiano ya kimapenzi na wafanyakazi, ndumba, kuwekeana uzibe nk. Hii inaathiri ufanisi kwa ujumla #Katika eneo lako la kutafutia riziki (au hata kutokana na uzoefu) visa na vioja gani hurindima kiasi cha kuwa kero na hata kupunguza ufanisi? Tupia hapo tujifunze na kujirekebisha👇