Vipi nitaepukana na wizi/rushwa?

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Kila ninayekutana naye na nikamwambia nichosomea, ananiuliza "umeamua kuwa mwizi"? Hii ni kutokana na fani yangu kuhusika na "manunuzi na ugavi",, hivi ni kweli katika fani hii wizi haukwepeki? Mwenye uzoefu naomba anijuze.
 
unaweza kukwepa wizi ni wewe mwenyewe lakini ngumu mkuu inabidi umwombe Mungu sana
 
Back
Top Bottom