Vipi Mwanahalisi la leo, halijanunuliwa na Lowassa?

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Kwa wiki kadhaa sasa kumekuwa na malalamiko kwamba, Gazeti hili limenunuliwa na Mafisadi, wakaendelea kudai kwamba Lowasa hawezi kuandikwa tena. Lakini leo asubuh limetoka na kichwa kisemacho "zimwi la richmond bado lamwandama Lowassa."....tunasubiri mseme limenunuliwa na akina Sitta na Mwakyembe kutokana na hii habari.
 
zimwi la richmond bado lamwandama Lowassa:

Umesoma "contents" za hiyo habari? Maana kichwa cha habari hakionyeshi kama kina-mtusi au kina-mpaisha Lowassa!
 
viongozi waliokuwa serikalini wakati wa mkataba wa kuzalisha umeme wa dharura wa richmond bado wanaendelea kung'ang'aniwa kwenye kashifa ya kushiriki kwenye ufisadi wa mkataba huo.mwanahalisi limeeleza kuelezwa.
 
Inawezekana maana kwa week kadhaa limekuwa likimwandama Kikwete ambaye alimsaliti lowasa na kumwambia Lowasa Gome (Gamba)
 
There is always a PRICE TAG. Bado anapandisha bei yake, ikifikiwa ataacha kuandika.

Kwanini kila kukicha umwandike mtu huyohuyo...LOWASSA hata kama hayupo serikalini LOwassa.

Anashindwa kuandika kuhusu kuporomoka kwa shilingi?, mapambano ya wananchi na police mwanza au migomo Arusha au migomo vyuo vikuu?
Matatizo yapo lukuki, Vijana hawana ajira, serikali imechelewesha mishahara ya wafanyakazi wake ... huyu Mwanahalisi kaishiwa
 
Back
Top Bottom