Vipi ingekuwa ni wajeda?

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,313
Nilikuwa nafikiri tu.
Je endapo wanajeshi wetu wangegoma. Je kungekuwa na danadana wanazofanyiwa madaktari?
 
Maandamano yangekuwepo, sinahawa jamaa wa maji ya kuwasha (ffu) na vijana wa kova wangekuwa wamegoma.
 
huwa hawagomi..., wanapindua serikali
Ki-bongo-bongo nadhani hii issue inaweza kuwa ngumu kidogo maana kukiwa na tetesi kwamba wajeda wanataka kutingisha kidogo basi ujue hata ofisi za mawaziri siku hiyo zitahamishiwa makambini kwenda kupiga magoti. WAJEDAAA...! mko wapi? Kwani sukari wenzetu bado bei poa eee...? Bia je..!?
 
Jee? jee?

Serikali ingeendelea kurembaremba na kutaka msururu wa vikao kweli? Au wengepewa chao kabla hawajatangaza lolote.........
 
Back
Top Bottom