vipi hawa tanroads kagera wameahirisha kuita au kuna mafuriko?

Kaka hapa kuna habari za kusua sua hazina uhakika kabisaaaaaaaaaaa.
Kuna mmoja aliniambia walishaita zamani na wanapiga mzigo,
Mwingine akasema bado hawajaita kwani wanasubilia fungu toka............., sasa sijui nani mkweli????
Mwenye habari za uhakika hapa tunaomba atujuze.
 
Ufupi, watu wapo kazini, subiri nimenusa ajira zenyewe zinatangazwa no later than end of this month
 
Back
Top Bottom