Vipeperushi zanzibar

mtwana

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
428
140
Watu wasiojulikana wamesambaza vipeperushi wakitaka kuiitishwe kura ya maoni ya kuvunja mfumo wa serikali ya Umoja wa Kitaifa iliyoasisiwa Novemba 2010.

Vipeperushi hivyo vyenye kichwa cha habari ‘Tamko la watu wa Waunguja kwa Wawakilishi wote wa CCM kutoka majimbo yote ya Unguja’ vimekuwa vikisabazwa katika maeneo ya mikusanyiko na baadhi ya wananchi kupenyezewa katika milango yao.

“Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) imeshindwa kudumisha na kulinda amani na umoja wa kitafia wa wananchi wa Zanzibar,’ sehemu ya vipeperushi vimeleeza.

Vipeperushi hivyo vimetoa mapendekezo matatu wakitaka serikali kuangalia upya mabadiliko ya 10 ambayo yanaruhusu kuudwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa.

Wametaka viongozi dhamana waliopewa majukumu ya kusimamia sheria wafukuzwe akiwemo Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar kutokana na vurugu zinazofanywa na kikundi cha Uamsho kila mara Visiwani humo.

Kwa muono wangu wakujiuzulu kwanza bora wangesema Emanuel Nchimbi mana yeye ndie mwenye Dhamana ya Kulinda Raia na wala sie Waziri wa Katiba na Sheria-Zanzibar. Ila yote haya wanaofanya ni Usalama wa Taifa.
 
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umewashinda kuuvunja sasa wanatafuta kuvunja serikali ya umoja wa kitaifa! Hawa watu sijui hata wakoje.
 
Watu wasiojulikana wamesambaza vipeperushi wakitaka kuiitishwe kura ya maoni ya kuvunja mfumo wa serikali ya Umoja wa Kitaifa iliyoasisiwa Novemba 2010.

Vipeperushi hivyo vyenye kichwa cha habari ‘Tamko la watu wa Waunguja kwa Wawakilishi wote wa CCM kutoka majimbo yote ya Unguja' vimekuwa vikisabazwa katika maeneo ya mikusanyiko na baadhi ya wananchi kupenyezewa katika milango yao.

"Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) imeshindwa kudumisha na kulinda amani na umoja wa kitafia wa wananchi wa Zanzibar,' sehemu ya vipeperushi vimeleeza.

Vipeperushi hivyo vimetoa mapendekezo matatu wakitaka serikali kuangalia upya mabadiliko ya 10 ambayo yanaruhusu kuudwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa.

Wametaka viongozi dhamana waliopewa majukumu ya kusimamia sheria wafukuzwe akiwemo Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar kutokana na vurugu zinazofanywa na kikundi cha Uamsho kila mara Visiwani humo.

Kwa muono wangu wakujiuzulu kwanza bora wangesema Emanuel Nchimbi mana yeye ndie mwenye Dhamana ya Kulinda Raia na wala sie Waziri wa Katiba na Sheria-Zanzibar. Ila yote haya wanaofanya ni Usalama wa Taifa.

"mtwana"
 
Nyie manyani hivi mna matatizo gani hasa? mbona hamuelewan! hata lugha yenu hamuijui? au ndo iman za kizungu na kiarab zinawasumbua vichwan mwenu? ona nyan huyu anazungumzia kusambazwa vpprush huko Zenj, yule anajib cjui shehe flan kanyolew kichaka! dah!!
 
Inaonekana kitendo cha kukamatwa Shehe FARIDA na kunyolewa mavudhi kimewaudhi sana baadhi ya waumini wa subuana..tatizo wazanzibari hawajui wanataka nini..wana mbwanda tu kama kuku mtaka kufa

Tatizo kuu la hawa watu wanatekeleza yale wanayoambiwa na ma............. wao bila kufikiria vichwani mwao. Wakiambiwa leo kuandamana, wanakubali bila kujua faida na hasara zake, wakiambiwa tuchome ....... wanakubali tu. NASUBIRI WAAMBIWE LEO KUJITOSA BAHARI then wakubali kufanya hivyo.
 
Does their religion allow reasoning?
 
Tatizo kuu la hawa watu wanatekeleza yale wanayoambiwa na ma............. wao bila kufikiria vichwani mwao. Wakiambiwa leo kuandamana, wanakubali bila kujua faida na hasara zake, wakiambiwa tuchome ....... wanakubali tu. NASUBIRI WAAMBIWE LEO KUJITOSA BAHARI then wakubali kufanya hivyo.

:biggrin1::biggrin1: nawaonea huruma wanavodanganyika maskini watu wa watu
 
Tatizo kuu la hawa watu wanatekeleza yale wanayoambiwa na ma............. wao bila kufikiria vichwani mwao. Wakiambiwa leo kuandamana, wanakubali bila kujua faida na hasara zake, wakiambiwa tuchome ....... wanakubali tu. NASUBIRI WAAMBIWE LEO KUJITOSA BAHARI then wakubali kufanya hivyo.

Kweli bwana mijitu haifikirii kichwani ikiambiwa tu inakurupuka.mfano mijitu ya CHADEMA ikiambiwa leo mandamano utaikuta barabarani.wanapenda kuanzisha vurugu ili watu wafe chama kizidi umaarufu.
 
Inaonekana kitendo cha kukamatwa Shehe FARIDA na kunyolewa mavudhi kimewaudhi sana baadhi ya waumini wa subuana..tatizo wazanzibari hawajui wanataka nini..wana mbwanda tu kama kuku mtaka kufa
Lugha yako inakufichua kutoka katika kichaka cha chuki na tabia ya kinyama
ambayo kwa asilimia mia moja inatokana na mafundisho ya dini yenu yaliyojificha
na sio yale yaliyo dhahiri - ni dini hatari kama nyoka wanaua bila kuonekana.
 
Tatizo kuu la hawa watu wanatekeleza yale wanayoambiwa na ma............. wao bila kufikiria vichwani mwao. Wakiambiwa leo kuandamana, wanakubali bila kujua faida na hasara zake, wakiambiwa tuchome ....... wanakubali tu. NASUBIRI WAAMBIWE LEO KUJITOSA BAHARI then wakubali kufanya hivyo.
Unafikiri ni wajinga kama wale wengine wanaokubali kila kitu?
huyo kiongozi mwenyewe akienda ovyo anaadhibiwa papo hapo
huoni au unajifanya huoni?
 
Roho ya ubaguzi inawatesa na kama alivyosema hayati baba wa Taifa Mwl J. K Nyerere.

Wamekwisha kuila nyama ya mtu hawataacha, dhambi hiyo itaendelea kuwatafuna siku zote.

Jusa, Seif, farrid na uamsho hawa wanaitaka Zanzibar huru. Nje ya madai yao wanafahamu vema kwamba hakuna Zanzibar huru bali Unguja na Pemba.

Dalili za mvua ni mawingu na madai ya Uamusho na maudhui ya mabandiko ya vipeperushi yanathibitisha kwamba sasa Zanziba haiko salama na sio wamoja, wanaonesha kuwa wamoja kwa unafiki wanapoisema Tanganyika.
 
Wanataka kuvunja ndoa bila kujali mtoto wao mwenye jina la UAMSHO atalelewa na nani???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Roho ya ubaguzi inawatesa na kama alivyosema hayati baba wa Taifa Mwl J. K Nyerere.

Wamekwisha kuila nyama ya mtu hawataacha, dhambi hiyo itaendelea kuwatafuna siku zote.

Jusa, Seif, farrid na uamsho hawa wanaitaka Zanzibar huru. Nje ya madai yao wanafahamu vema kwamba hakuna Zanzibar huru bali Unguja na Pemba.

Dalili za mvua ni mawingu na madai ya Uamusho na maudhui ya mabandiko ya vipeperushi yanathibitisha kwamba sasa Zanziba haiko salama na sio wamoja, wanaonesha kuwa wamoja kwa unafiki wanapoisema Tanganyika.

Wazanzibari maneno haya tumeshayazoea tafuteni mengine.
 
Watu wasiojulikana wamesambaza vipeperushi wakitaka kuiitishwe kura ya maoni ya kuvunja mfumo wa serikali ya Umoja wa Kitaifa iliyoasisiwa Novemba 2010.

Vipeperushi hivyo vyenye kichwa cha habari ‘Tamko la watu wa Waunguja kwa Wawakilishi wote wa CCM kutoka majimbo yote ya Unguja’ vimekuwa vikisabazwa katika maeneo ya mikusanyiko na baadhi ya wananchi kupenyezewa katika milango yao.

“Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) imeshindwa kudumisha na kulinda amani na umoja wa kitafia wa wananchi wa Zanzibar,’ sehemu ya vipeperushi vimeleeza.

Vipeperushi hivyo vimetoa mapendekezo matatu wakitaka serikali kuangalia upya mabadiliko ya 10 ambayo yanaruhusu kuudwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa.

Wametaka viongozi dhamana waliopewa majukumu ya kusimamia sheria wafukuzwe akiwemo Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar kutokana na vurugu zinazofanywa na kikundi cha Uamsho kila mara Visiwani humo.

Kwa muono wangu wakujiuzulu kwanza bora wangesema Emanuel Nchimbi mana yeye ndie mwenye Dhamana ya Kulinda Raia na wala sie Waziri wa Katiba na Sheria-Zanzibar. Ila yote haya wanaofanya ni Usalama wa Taifa.

Nyinyi watanganyika kwani z'bar inawahusu nini mbona kila wakati z'bar hivi mara z'bar vile hata mambo ya uzushi ilimradi tu mpate cha kuandika kuhusu z'bar hata kama hivyo vipeperushi vipo ni propaganda ya kitanganyika ili kuwaga waz'bar na kuendelea kuwatawala kimawazo
 
Back
Top Bottom