Viongozi Wakuu CDM mpo wapi????????

Simchezo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
445
345
Wana JF; Nimekuwa nafuatilia mfululizo wa habari zinazomuhusu Shibuda na yale ambayo anendelea kusema hadharani pi nawafuatilia viongozi wa BAVICHA hasa Heche na huyu Juliana Shonza jinsi wanavyobishana hadharani, Nabaki najiuliza hivi viongozi wakuu mpo wapi???? ili mtoe tamko rasmi la chama?? mjue hii ni hatari kwa chama, msifikiri kwamba cdm itapendwa muda wote hata ikifanya madudu, Amkeni huko mlipo!!!
 
Chama hakiongozwi na matamko wala na porojo za vyombo vya habari......

Kama mwanachama soma katiba, hudhuria vikao jenga chama acha kusubiria matamko..

Uhai wa chama ni wanachama wenye imani na moyo wa mapambano.......

Kwa bahati mbaya sana wafuata mkumbo ndio wamejaa bongo
 
[Chama hakiongozwi na matamko wala na porojo za vyombo vya habari......

Kama mwanachama soma katiba, hudhuria vikao jenga chama acha kusubiria matamko..

Uhai wa chama ni wanachama wenye imani na moyo wa mapambano.......

Kwa bahati mbaya sana wafuata mkumbo ndio wamejaa bongo
[/QUOTE]

umefunga mjadala mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom