Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,199
- 10,931
Mwana mfalame wa Saudia Mohammed Salman na raisi wa Iran Brahimi RAaisi wamezungumza kwa simu kwa mara ya mwanzo hapo juzi na kukubaiana kuiunga mkono Palestina katika madai yao.
Mohammad Jamshidi amabaye ni naibu wa masuala ya mambo ya nje aliandika kwenye akaunti yake ya X kuwa mazungumzo hayo yaliyochukua dakika 45 yalisisitiza udugu wao na Palestina na kumalizia na tamko kwamba siasa za Marekani kuiunga mkono Israel katika mashariki ya kati zinaharibu hali za hewa za kisiasa za jimbo hilo.