Viongozi wa dini

mjukuu2009

Member
Jul 6, 2009
89
4

Viongozi wetu wa dini zote wa islamu na wakiristo.huu utaratibu wa kuleta wana siasa kwenye makanisa na misikiti,kwa kipindi hichi kuna makundi ya wana siasa wanaotaka uraisi,ubunge na udiwani ata kwa kutumia kitu chochote,viongozi wakisiasa wamekuwa mstari wa mbele kwenye harambee za ujenzi wa misikiti na makanisa na kwanini iwe sasa na isiwe kipindi kingine.

Sisi baadhi ya waumini wenu tunakwazika sana tunapo ona kila harambe ya kanisa au msikiti mgeni rasimi ni mwanasiasa kwanini isiwe kiongozi mkuu wa kanisa au bakwata na mbona kuna wafanya biashara wengi wacha mungu na ni matajiri wakupindukia amuwapi mialiko?

Wafanyabiashara kama bakhresa,mengi na wengine tumewaona wakijitolea sana kwenye mambo ya kijamii ni bora tukawomba waje kutusaidia kwenye ujenzi wa nyumba zetu za ibada kuliko kuwaomba wanasiasa ambao ndani yao zimejaa ila za kugombania madaraka ya juu.

Naomba kuwakilisha kama kuna mtu kakwazika naomba anisame,aya ni baadhi ya mambo yanayozungumziwa mitaani na watu wengi aswa kipindi hichi.
 
kipindi hiki kina nini weye?kutoa ni moyo na mtoaji atapewa thawabu toka kwa mungu.we umaskin wako unakufanya utuletee uharo hapa
 
Yatakayo tokea apo baadae yanaweza yakawa mabaya ata ya kazidi ako kamsada wanakokatoa.
 
Hebu ondoa hapa haya matapishi yako! hujui kwamba na wanasiasa ni waumini wa dini zetu? acha wamtolee Mungu kama wewe hauna piga kimya usije ukakufuru bure. yaani unapingana na watu wanaomtolea mungu/ kusaidia jamii!
 
ukishakua mwanasiasa unaacha kuamini kwenye dini ulokuwamo kabla ya siasa?
ALichoongea si uongo kwani siasa ni mchezo mchafuuuuuu. Ndio maana malengo ya wanasiasa ni ya kidunia tu nani kakwambia wanatoa kwaajili ya mungu? Ndio maana wakitoa kitu kamera kibao, wakati hamna dini inayoruhusu kujinadi unapotoa sadaka.
 
Back
Top Bottom