Pagi Ong'wakabu
Member
- Sep 15, 2010
- 53
- 0
viongozi wetu wa dini wanahubiri amani huku waki-support wizi na udanganyifu
Ingependeza kwenda kwajmk kumuuliza kwa nin askari wake (moja ya taasisi nyingi za sisiemu ikiwa uwt, mnajimu mkuu mkuu wa nguvu za giza, bmw) sababu ya kuwapiga mabomu wapiga kura na kuwatengulia matashi yao kwa kuwaweka wabunge ambao wapiga kura hawakuwachagua? Hapo wangesaidia nji hii kujua kulikoni!
VIONGOZI WA DINI WANAHUBIRI MEMA NA KUKEMEA MAOVU
JE HAYO YALIYOFANYWA NA SERIKALI YA JMK KWA WATANZANIA YANAPENDEZA MACHONI PA BWANA KAMA SIYO MBONA HAMUYAKEMEI HADHARANI?
:rain: