Viongozi wa ACT ni hawa vijana hapa Mchange na Nyakarungu ....Nyaraka ya msajili

Hizi documents mbona hazina mhuri au kithibitisho chochote kama kweli zimetoka kwa msajili? maana kama hakuna mhuri mtu yeyote anaweza akatengeneza na kuzitundika humu

Ukitumia headed paper hakuna haja ya kupiga mhuri. Kwa hiyo hizo docs zipo sahihi kabisa.
 
Dah kama ni barua ya Msajili ni ya hovyo kabisa haiwezekani Barua ya Ofisi mmoja kwenda nyingine isiwe na Mhuri ninachojua haitapokelewa sasa hii hapa Ina signature ila Mhuri.Huu usanii inabidi ufike mwisho TCRA wanatakiwa waarakishe huo mchakato kusudi watu wanaogush signature za watu na kujificha kwenye ID fake waweze kushughulikiwa.Hizi hekaya zitalifikisha taifa hili pabaya.Haiwezekani na aliyeiweka hapa ni kiongozi WA CDM.
ya hiyo ni headed paper doc hakuna haja ya mhuri!
 
Back
Top Bottom